Eric Omondi mmoja ni sawa na wasanii wa bongo 200

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,470
96,019
Msanii wa Kenya Eric Omond ni zaidi ya WASANII wote wa hapa bongo.

OMONDI amejawa na weledi na kujiamini mno hivyo kutokuwa mpiga zumari.

Ebu sikilizeni anavyo pinga msaada wa fedha unaotarajiwa kupitishwa na serikali ya Kenya.

Kumbuka kuwa OMONDI Alisha wahi kukamatwa na kuwekwa lupango na hatimae Mahakamani Kwa ajili tu ya kuwatetea wanyonge.

Cc Stiv Ake na Ray Kigosi
 
Utawala wa shetani jiwe ulitengeneza auna ya watu wa hovyo sana katika hii nchi kuanzia wana siasa, wasanii, waandishi wa habari.
Tabia ya uchawa ilianza kwenye awamu hii
 
Msanii wa Kenya Eric Omond ni zaidi ya WASANII wote wa hapa bongo.

OMONDI amejawa na weledi na kujiamini mno hivyo kutokuwa mpiga zumari.

Ebu sikilizeni anavyo pinga msaada wa fedha unaotarajiwa kupitishwa na serikali ya Kenya.

Kumbuka kuwa OMONDI Alisha wahi kukamatwa na kuwekwa lupango na hatimae Mahakamani Kwa ajili tu ya kuwatetea wanyonge.
hana mashabiki na wala hachekeshi tena, anacheka mwenyewe tu siku izi..

nadhani ameona pakujifichia ni huku kwenye siasa japo haungwi mkono sana mtaani kwa aina na mtindo wake anaojaribu kuingia nao kwenye siasa,

na ndio maana anakamatwaga na polisi yeye na yeye pekeyake tu hata kama kuna waandamanaji wengine 50. huwa ni kama anajikamatisha tu au analazimisha akamatwe yeye tu....

Yes, hua ana hoja,
na hakuanza leo au jana kuikosoa na kuishauri serikali ya Kenya juu ya mambo kadha wa kadha hususani bei ya unga, bei ya mafuta, mafuriko, miraa, ubomoaji kiholela, kiujumla hua anapambania hali ya maisha kwa mkenya na hivi sasa anapinga muswada wa fedha wa serikali ya kenya, kwa mwaka 2024/2025, sawa na msimamo wa kambi ya upinzani Kenya.....

mbali na kubumba kwenye uchekeshaji na kujificha kwenye siasa, pia alivutiwa sana na wasanii wa Tanzania walifanikiwa kuingia kwenye siasa na kufanikiwa, na kwahivyo analenga kuweka record kwa miongoni mwa wasanii kenya kufanikiwa kisiasa..,...

wasanii wengine aliovutiwa nao na kuingia kwenye siasa ni pamoja na Bob wine wa Uganda

kwahivyo, si kweli eti Eric anaweza kua maridadi kihivyo kama anavyodai mtoa hoja, but kwa maoni yangu, kwenye sanaa na siasa hafikii hata robo kwa mwànaFA au Niki waPili 🐒
 
Hiyo avatar nikiona nakumbuka ile interview jamaa mmoja alifanyiwa na kuulizwa "why are you gay?"
Wewe umewahi kuchangia nini au unasubiri usemewe na wasanii? Mkiitwa kwenye maandamo hamuendi mnataka kuwa keyboard warriors tu na kusubiri wengine waumie kwaajili yenu.
 
Msanii wa Kenya Eric Omond ni zaidi ya WASANII wote wa hapa bongo.

OMONDI amejawa na weledi na kujiamini mno hivyo kutokuwa mpiga zumari.

Ebu sikilizeni anavyo pinga msaada wa fedha unaotarajiwa kupitishwa na serikali ya Kenya.

Kumbuka kuwa OMONDI Alisha wahi kukamatwa na kuwekwa lupango na hatimae Mahakamani Kwa ajili tu ya kuwatetea wanyonge.
Ukisaidiwa jero hakikisha umetumia vizuri kwa kuleta mada zenye tija!
 
Kujitoa mhanga kwa ajili ya kutetea watanzania, ni kukosa kazi ya kufanya
Watanzania ni wanafiki sana hayajui hata yanataka nini likitokea la kutokea yanakugeuka
Mwanangu umewajua vyema wabongo ww angalia mpina katoa fact lakini utashangaa watu wako kimyaaa na ataadhibiwa na majizi sisi tunaangalia tu hata kuandamana hakuna
 
Kujitoa mhanga kwa ajili ya kutetea watanzania, ni kukosa kazi ya kufanya
Watanzania ni wanafiki sana hayajui hata yanataka nini likitokea la kutokea yanakugeuka

..Mama Abduli, Ccm, na genge la wateule wake, nao ni sehemu ya Watz uliowaita wanafiki, hivyo wa wao hawastahili kutetewa.
 
Back
Top Bottom