bizzle for shizzle JF-Expert Member Dec 22, 2014 1,012 741 Dec 28, 2016 #1 Eneo lenye ukubwa wa hekali 8 linauzwa lipo mbweni marindi linatazama barabara ya rami ya kwenda mbweni eneo linahati limepimwa. Contact 0712464777
Eneo lenye ukubwa wa hekali 8 linauzwa lipo mbweni marindi linatazama barabara ya rami ya kwenda mbweni eneo linahati limepimwa. Contact 0712464777
Amalinze JF-Expert Member May 6, 2012 6,780 5,300 Dec 29, 2016 #3 Mhhhhhhh Malindi ipi? Ubungo ? Kwa Komba? Maeneo yote yamepimwa huko tupatie block na plot number.
Cienfuegos Member Jun 29, 2016 56 57 Dec 29, 2016 #4 Amalinze said: Mhhhhhhh Malindi ipi? Ubungo ? Kwa Komba? Maeneo yote yamepimwa huko tupatie block na plot number. Click to expand... Mkuu nadhani Malindi ni mbele ya Kwa Komba (ambapo ndio Ubungo hapo hapo). Ni mbele pia ya Masaiti, ni maeneo ya ile kona ya kuelekea Mbweni
Amalinze said: Mhhhhhhh Malindi ipi? Ubungo ? Kwa Komba? Maeneo yote yamepimwa huko tupatie block na plot number. Click to expand... Mkuu nadhani Malindi ni mbele ya Kwa Komba (ambapo ndio Ubungo hapo hapo). Ni mbele pia ya Masaiti, ni maeneo ya ile kona ya kuelekea Mbweni