Embu tumkumbuke Kali P wa "Imekaa Vibaya" kidogo. Sijui yuko wapi huyu jamaa?

Hawa jamaa wa mwanzo mwanzo wa bongo fleva hawakunufaika kabisa kwa kazi ngumu waliyofanya ya kuibadilisha na kuishawishi jamii kuwaelewa ktk aina yao ya muziki wa kizazi kipya matokeo yake wanafaidi madogo wanaoimba mapenzi tu.


Kweli kabisa. Hawa walikuwa na kazi kubwa ya kuishawishi Jamii kuwa muziki wanaofanya sio uhuni.
 
Kweli kabisa. Hawa walikuwa na kazi kubwa ya kuishawishi Jamii kuwa muziki wanaofanya sio uhuni.
Wamebaki masikini na wanadharaulika na madogo walioibuka baada ya kazi ngumu iliyofanywa na wakongwe hao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…