Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

Gen (rtd) Mwamunyange
Cpt. Mkuchika
Lt.Makamba
Sergent Chacha........hii hapana
Ndiyo maana nimekwambia Baadhi ya Vyeo Ndiyo maana

Captain Mkuchika
Marehemu Captain Komba
Mojor general
Kanali Masawe
Mabalozi
Marais
 
Waziri Mkuu wa awamu ya 4 Ampongeza Dr. John Magufuli.<br />Aliyekuwa Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Edward Lowassa ampongeza Rais John Pombe Magufuli kwa hatua aliyoichukuwa ya kusimamia rasilimali za nchi kikamilifu huku akidai kuwa tiba ya matatizo yote hayo ni upatikanaji wa katiba mpya

Nimpongeze sana Mhe Rais John Pombe Magufuli kwa uamuzi na hatua ambazo amechukua kuhusu jambo hili, na hasa pale anapowashirikisha wananchi, ni jambo muhimu sana.

Maneno hayo yamesema leo na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la mchanga wa madini (makinikia) ambalo limeonyesha kuwa Tanzania impoteza zaidi ya trilioni 100 tangu mwaka 1998 hadi Machi mwaka 2017.

Lowassa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA alisema anampongeza Rais Magufuli kwa kutekeleza maamuzi ambayo ni ya UKAWA kwani kipindi anazunguka kuomba kura kwa wananchi alipopita maeneo yenye madini aliyazungumza haya yanayotekelezwa leo.

“Nampongeza kwa kutekeleza yale maamuzi ambayo ni ya UKAWA. Nilipokuwa kwenye kampeni ya kuomba kura, hata pale Geita, nilieleza jambo hilo, nikasema hivyo hivyo alivyosema yeye kwamba nikiingia madarakani nitaunda tume ya kuchunguza jambo hili ili mtanzania awe ndiye anapata sehemu kubwa ya faida kuliko mgeni.”<br /><br />Aidha, Lowassa amesema kuwa, ni kweli mikataba ya madini ina matatizo na hata yeye alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu aliwaita wawekezaji hao wakakaa na na kuzungumza, lakini jambo gumu lilikuwa ni kamba, mikataba ukishaiweka saini inakuwa migumu sana kubadilisha.

Lowassa alieleza kwamba baada ya kuongea nao kwa muda walikubali na kuongeza kidogo mirahaba lakini haikutosha.<

“Matumaini yangu ‘figure’ (namba) hizo ni za kweli, kama ni za kweli, tumeliwa kweli kweli,” alisema Lowassa alipokuwa akizungumzia mahesabu yaliyowasilishwa katika ripoti za uchunguzi kuhusu kiasi cha fedha ambazo Tanzania imepoteza.
 
Jamani hapo ndipo naona Lowassa ni mwanasiasa aliyekomaa.

Sasa Lissu anaponda kila kitu lakini Lowassa pamoja na fitina zilizotokea anamkubali Magufuli.

Kipindi cha kampeni sikuwahi kuona Lowassa anamponda Magufuli wala sijawahi kuona Magufuli anamponda Lowassa.

Lakini lissu yeye ni kuponda kila kitu, aina ya wanasiasa wa Lissu hawatufai kwasababu huweka mbele maslahi binafsi. Hongera Lowassa.
 
Tatizo la Chadema mpaka leo huwezi kujua structures ya chama inavofanyakazi kwasababu hawana msemaji mkuu wa chama Lowassa anapongeza Lissu anaponda mbowe kimya katibu mkuu kimya sasa najiuliza what's wrong with this party.
Mheshimwa Lowassa ni wakati wa wewe kuangalia upya kuendelea kuwa kwenye hiki chama.
 
Huu ndio uzalendo, anashauri Lissu atumie nafasi ya Urais kumshauri Rais sio kutuletea mambo ya sheria wananchi anatukoroga hayajui hayo, aache sie tupige zege.
 
Hapana Kuna Vyeo Kama ukivishika Utaendelea kuwa navyo


Balozi Hamis Kagasheki
President Obama
Secretary Hillary Clinton
Waziri Mkuu Lowassa
Judge Lubuva
President Bush
President Kikwete
Rais Mwinyi
Umebadili gia angani? Si huwa mnamuita aliyejiuzulu?
 
Waziri Mkuu wa awamu ya 4 Ampongeza Dr. John Magufuli.
Aliyekuwa Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Edward Lowassa ampongeza Rais John Pombe Magufuli kwa hatua aliyoichukuwa ya kusimamia rasilimali za nchi kikamilifu huku akidai kuwa tiba ya matatizo yote hayo ni upatikanaji wa katiba mpya


“Nimpongeze sana Mhe Rais John Pombe Magufuli kwa uamuzi na hatua ambazo amechukua kuhusu jambo hili, na hasa pale anapowashirikisha wananchi, ni jambo muhimu sana.

Maneno hayo yamesema leo na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la mchanga wa madini (makinikia) ambalo limeonyesha kuwa Tanzania impoteza zaidi ya trilioni 100 tangu mwaka 1998 hadi Machi mwaka 2017.

Lowassa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA alisema anampongeza Rais Magufuli kwa kutekeleza maamuzi ambayo ni ya UKAWA kwani kipindi anazunguka kuomba kura kwa wananchi alipopita maeneo yenye madini aliyazungumza haya yanayotekelezwa leo.

“Nampongeza kwa kutekeleza yale maamuzi ambayo ni ya UKAWA. Nilipokuwa kwenye kampeni ya kuomba kura, hata pale Geita, nilieleza jambo hilo, nikasema hivyo hivyo alivyosema yeye kwamba nikiingia madarakani nitaunda tume ya kuchunguza jambo hili ili mtanzania awe ndiye anapata sehemu kubwa ya faida kuliko mgeni.”

Aidha, Lowassa amesema kuwa, ni kweli mikataba ya madini ina matatizo na hata yeye alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu aliwaita wawekezaji hao wakakaa na na kuzungumza, lakini jambo gumu lilikuwa ni kamba, mikataba ukishaiweka saini inakuwa migumu sana kubadilisha.

Lowassa alieleza kwamba baada ya kuongea nao kwa muda walikubali na kuongeza kidogo mirahaba lakini haikutosha.

“Matumaini yangu ‘figure’ (namba) hizo ni za kweli, kama ni za kweli, tumeliwa kweli kweli,” alisema Lowassa alipokuwa akizungumzia mahesabu yaliyowasilishwa katika ripoti za uchunguzi kuhusu kiasi cha fedha ambazo Tanzania imepoteza.

Safi sana Lowassa, lakini anasema hivyo kwa vile hakuwahi kuingiza mkono wake humo wizara ya madini.

Wanaomfahamu Lowassa wanajua fika kuwa yeye na pesa ni kama sumaku na chuma!

Ni bahati tu kuwa aiindolewa mapema katika uwaziri mkuu, ama sivyo naye Takukuru wangemhusu.
 
Hapana Kuna Vyeo Kama ukivishika Utaendelea kuwa navyo


Balozi Hamis Kagasheki
President Obama
Secretary Hillary Clinton
Waziri Mkuu Lowassa
Judge Lubuva
President Bush
President Kikwete
Rais Mwinyi
Unakubali kiaina mkuu mbona sijona neno fisadi? Au kwa vile kampongeza mwenyekiki? Narudia tena kwa vile kampongeza
Mwenye kiki?
 
Haya na nyumbu nao watabadilisha na kufuata kupongeza maadamu aliyeshika akili zao keshasema, utamuona Tundu, Mbowe, Msigwa, na takataka wengine wakibadilisha mawazo!


Tatizo lako hukuelewa taarifa yote inasemaje!!!! Vijana wa Kitanzania wanasomaga just one verse and run away. Anampongeza kwa kufanya yale aliyekuwa anayesema kwenye kampeni ya kufumua mikataba yote ya madini, sasa JPM anayatekeleza. Kama utasikiliza Lowassa alichoongea amewananga kweli ccm na wabunge wake wa ndiooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom