ECOWAS yatishia kuingilia kijeshi kama Kiongozi wa Mapinduzi wa Niger atakaidi kurudisha Serikali ya Kiraia

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
58,823
69,516
mapinduzi niger.jpg

Naunga mkono msimamo wa Viongozi wa ECOWAS kuingilia Kijeshi na kumkamata huyo Mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi na kujitangaza Rais.

Hii tabia lazima ikome, Mageuzi yeyote yatafanywa na raia kwa mujibu wa taratibu za kikatiba sio wanajeshi kuoindua Viongozi.

Hakuna mahala popote Wanajeshi waliopindua Serikali za Kiraia walileta tija kwa wananchi zaidi ya kuongeza shida kama ilivyo Sudan na Burkinafaso.

====

West African leaders have threatened military action against Niger's junta after it took power in a coup last week.

The leaders gave the junta seven days to reinstate President Mohamed Bazoum, who is being held captive.

Earlier, the junta warned it would resist any "plan of aggression against Niger" by regional or Western powers.
Meanwhile hundreds of coup supporters protested outside the French embassy in the capital Niamey.

Leaders from Ecowas, the bloc of West African nations, held crisis talks in Nigeria's capital Abuja on Sunday to discuss the latest coup - which follows army takeovers in neighbouring Mali and Burkina Faso.

A statement read out after the summit said that Ecowas had "zero tolerance" for coups.

The regional bloc would "take all measures necessary to restore constitutional order" if its demands were not met within a week.

"Such measures may include the use of force," and military chiefs are to meet "immediately" to plan for an intervention, the statement added.

The Special Representative and Head of the United Nations Office for West Africa and the Sahel was at the meeting, and said Ecowas had taken decisive action because events in Niger were concerning.

"Niger is playing a key role in fighting terrorism. If Niger stop playing this role this will give more space and more leeway to terrorists to expand in the region," Dr Leonardo Santos Simao told BBC's Newshour programme.

He added that "no official negotiations" were taking place between Ecowas and the country's military junta.

This is the first time Ecowas has threatened military action to reverse the coups that have taken place in the region in recent years.

It last sanctioned military intervention in 2017, when Senegalese troops were deployed to The Gambia to force long-serving ruler Yahya Jammeh to leave office after he refused to accept defeat in elections.

Chad's President Mahamat Idriss Déby Itno has gone to Niamey to tell the junta to step down, Chad's government said.

He is the first foreign leader to visit Niger since the coup, and has met junta deputy leader Gen Salifou Mody.

It is unclear whether he will hold talks with Gen Abdourahmane Tchiani, the head of the presidential guards unit who has declared himself Niger's new ruler.

The West African leaders also announced the immediate enforcement of a no-fly zone over Niger for all commercial flights, the closure of all land borders with the country, and the imposition of financial sanctions against the junta.

Ahead of their meeting, Gen Tchiani warned Ecowas and unnamed Western nations against stepping in.

BBC
My Take
Kuna watu wananufaika na huu upumbavu
 
Kama serikali iliyopinduliwa iliingia madarakani kwa uchaguzi uliokuwa huru na haki naunga mkono hao ECOWAS kuingilia kati kijeshi lakini kama kilikuwa kinyume chake kama chaguzi nyingi tunazozishuhudia katika nchi nyingi za kiafrika ambapo mpaka kuna watu wanapita bila kupingwa heri iwe imeenda
 
Uchaguzi uwe huru au usio huru procedures za Kudai Haki zifuatwe kuliko kupinduana.

Mapinduzi hayaleti Ustawi Kwa Wananchi.
 
Naunga mkono msimamo wa Viongozi wa ECOWAS Kuingilia Kijeshi na kumkamata huyo Mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi na Kujitangaza Rais.

Hii tabia lazima ikome,Mageuzi yeyote yatafanywa na raia Kwa mujibu wa taratibu za kikatiba sio wanajeshi kuoindua Viongozi.

Hakuna mahala popote Wanajeshi waliopindua Serikali za Kiraia walileta Tija Kwa Wananchi zaidi ya kuongeza shida kama ilivyo Sudan na Burkinafaso.
Tulia wewe team bandari
 
Kama kiongozi wa kiraia aliingia kwa kupora uchaguzi kama wanavyofanya viongozi wengi wa Afrika, hakuna haja ya setikali kama hiyo kurudishwa.

Cha muhimu ni waliopindua Serikali kutengeneza mazingira ya uchaguzi huru na wa haki, ili ucjaguzi ufanyike tena.

Kama kiongozi aliyepinduliwa alicjaguliwa kwenye uchaguzi huru na wa haki, jamii ya kimataifa imsaidie ili arudi madarakani kulinda maamuzi ya wananchi.

Mapinduzi ya kijeshi dhidi ya tawala za kidikteta, kwa nia ya kulinda maamuzi ya wananchi, yaungwe mkono.
 
Kuna taratibu za kisheria kudai Haki ,kwani kuoindua ndio utapata Haki?
 
Naunga mkono msimamo wa Viongozi wa ECOWAS Kuingilia Kijeshi na kumkamata huyo Mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi na Kujitangaza Rais.

Hii tabia lazima ikome,Mageuzi yeyote yatafanywa na raia Kwa mujibu wa taratibu za kikatiba sio wanajeshi kuoindua Viongozi.

Hakuna mahala popote Wanajeshi waliopindua Serikali za Kiraia walileta Tija Kwa Wananchi zaidi ya kuongeza shida kama ilivyo Sudan na Burkinafaso.
Labda waliomsaidia kupora uchaguzi wameamua kujichukulia kasehemu kadogo ka share yao
 
Kama serikali iliyopinduliwa iliingia madarakani kwa uchaguzi uliokuwa huru na haki naunga mkono hao ECOWAS kuingilia kati kijeshi lakini kama kilikuwa kinyume chake kama chaguzi nyingi tunazozishuhudia katika nchi nyingi za kiafrika ambapo mpaka kuna watu wanapita bila kupingwa heri iwe imeenda
Sasa siufanye utafiti japo kidogo ili uje na kitu kinachoeleweka.

Kuliko kuwa "huku hayuko, kule hayuko ankula huu".

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kwani wananchi wa Niger wanasemaje maana isijekuwa mapinduzi ni mazuri yakiwa na mkono wa "west" Ila mabaya yakiwa na mlengo wa kushoto. Cha msingi ni wananchi wake kwa maana hakuna maamuzi ya "west" Yanayoangalia viongozi wa "west Africa" Wanasemaje ila maslahi ya wananchi wao na vizazi vijayi hivyo, tutumie mfumo huo huo katika hilo
 
Kazi yake ipi Sasa hapo? Huyo Jenerali aliyepindua aliona kibarua chake Kiko mbioni kuota nyasi akafanya huu upuuzi.

Ngoja anyooshwe uzuri West Africa Huwa Hailembi.
Hawa viongozi wanaingia madarakani kimagumashi mwisho wasiku wanaanza kulimbuka namikataba ya hovyo mfano DPW TZ magenerali wakisanuka wanatengua teuzi sasa ECOWAS waliachie jeshi lifanye mipangilio mipya ya kiuongozi
 
Back
Top Bottom