Saidi bushiri love
Member
- May 18, 2015
- 10
- 1
Tatizo sio diamond kuanzishwa wavuti ya kuuza kazi za wasanii.Hajafanya kosa kutamka hayo maneno, huwezi tegemea tv na radio pekee kwa nyakati hizi. Sasa mbona huo ni ukweli unaojulikana na mond anawaamsha wasanii ambao hawatumii social net kuuza kazi zao. Mond anaakili sana
Kwani mwanzo wasanii walikuwa wanauza kupitia nn..!!? {Mkito.com....etc}