D diannajohn Member Nov 13, 2016 76 8 May 28, 2017 #1 Jaman naomba Kusaidiwa kwa yeyote aliewahi kufanya usahili hospitali idara ya kumbukumbu maswali wanayouliza ni yapi Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Jaman naomba Kusaidiwa kwa yeyote aliewahi kufanya usahili hospitali idara ya kumbukumbu maswali wanayouliza ni yapi Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Mwanyasi JF-Expert Member Nov 16, 2010 7,955 7,106 May 28, 2017 #2 Wataalam wa Records Mgt msaidieni mwenzenu, Ila naamini maswali mengi yanabaki kwenye principles za taaluma pamoja na miongozo na sheria zake. Usiri ni compulsory
Wataalam wa Records Mgt msaidieni mwenzenu, Ila naamini maswali mengi yanabaki kwenye principles za taaluma pamoja na miongozo na sheria zake. Usiri ni compulsory