DVC academic UDSM ni jipu anahitaji kutumbuliwa

geee kay

Senior Member
Mar 21, 2015
112
63
Ikumbukwe kuwa chuo kikuu cha Udsm jana walifanya mgomo kudai pesa yao ya kujimu, na ilidaiwa pesa hiyo haikuwa chuo lakin baadae wanafunzi waliweza kupewa fedha zao. Ikumbukwe kuwa Dvc Luoga ndiye aliyekubali wanadaruso kuhakikishia umma wa wanaudsm kuwa pesa zingetoka siku ya jumatatu, siku moja kabla ya mgomo, lakin hakuweza kufanya hivyo. Maajabu leo anatangaza kuwachukulia hatua za kisheria wanafunz waliojishughulisha na mgomo wakati yeye ndo alichagiza mgomo huo kwa kutoa waraka wa uongo.
 
Ha haa poleni vijana.....mwaka Jana miezi kama hii tuligoma....chini ya Rais Kitaponda...Hamna aliyekamatwa Wala kuchukuliwa hatuaà....

Sijui Huo mgomo wenu mmeufanyaje??? Mmeharibu vitu???
 
Ha haa poleni vijana.....mwaka Jana miezi kama hii tuligoma....chini ya Rais Kitaponda...Hamna aliyekamatwa Wala kuchukuliwa hatuaà....

Sijui Huo mgomo wenu mmeufanyaje??? Mmeharibu vitu???
Ulikuwa kama uleule wa Kitaponda
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…