mwambunnyara
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 518
- 208
- Thread starter
- #21
Najisikia vibaya sana kumsaliti rafiki yangu,nnachofikiria na kuhitaji kutoka kwenu wadau,ni hatua gani nichukue pasipo kumvunjia heahima rafiki yangu,nafikiria kumuacha hapa ndani kwangu alale tu,mimi nikalale hotelini,then kesho asubuhi nimpe nauli aondoke!Kaka huu ushauri nakupa huyu mwanamke usimuache mpakue ila mwambie openly kuwa mnapakuana tu yeye awe na wake huyu rafikiyo na wewe una mchumba wako