Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,626
- 32,047
- Thread starter
- #21
Katiba ikiwa unwritten inaeleweka vipi?Mkuu wewe bure kabisa upo hapa kuongea pumba zaidi, hii ni Forum unajaza matapishi ya watu wezi kama kina EL na aliyewauzia Mbuzi kwenye gunia. Unasema UK hawana Constitution. Usilete elimu za shule za kata, kukariri bila kufahamu kwa tarifa yako how does the UK is governed:
''Unlike most modern states, Britain does not have a codified constitution but an unwritten one formed of Acts of Parliament, court judgments and conventions. Professor Robert Blackburn explains this system, including Magna Carta’s place within it, and asks whether the UK should now have a written constitution.''
- See more at: Britain's unwritten constitution
Sasa angalia hiyo magna-carta ni ya lini? BTW nini maana ya Katiba? You can call it whatever you want Wacha kuwa gwiji la kujaza server wakati hakuna anayesoma mambo ya udaku. Badilika na andika vitu ambavyo vitasaidia nchi hii kwenda mbele. Uchaguzi umekwisha subiri 2020 kama mtabahatika lakini kwa mwendo wa JPM hamtaambulia kitu.
Nadhani anayepaswa ''kulalamika'' kuhusu server ni wamiliki wa JF,siyo wewe
Midhali wananipa fursa, hayo mengine hayakuhusu
Kama unasoma mambo yasiyokupendeza, kwanini unasoma? Si uache!
Nina ushahidi wapo wanasoma, mmoja wao ni wewe, ukisema hawapo unashangaza wakati unasoma kwa bidiii kabisa teh teh teh
Maandishi mekundu ni kukazia hoja zako, hata wewe unajua hazisimami zenyewe
Ahsante kwa mchango wako, tunashukuru sana tuache wapuuzi tuendelee wewe kaa pembeni soma kinachokufaa. Hulazimishwi kusoma hapa, nini hasa kinakukera?
Tena unasema watu hawasomi, sasa unakereka na nini? Si uache tu nipoteze muda wangu mwenyewe
Wana duru tutaendelea na wizara ya mambo ya ndani