M migeda Member Dec 29, 2013 29 2 Apr 15, 2016 #1 Duka la vipodozi linauzwa liko tabata relini ni sehemu nzuri na ni barabarani kabisa.anayehitaji anipm.being n 5M namuachia kila kitu na kodi imelipwa mwaka mzima.
Duka la vipodozi linauzwa liko tabata relini ni sehemu nzuri na ni barabarani kabisa.anayehitaji anipm.being n 5M namuachia kila kitu na kodi imelipwa mwaka mzima.
Fuga Kisasa Senior Member Jan 16, 2016 165 91 Apr 15, 2016 #3 Hujasema location ni wapi mkuu na kwanini unauza?
Fuga Kisasa Senior Member Jan 16, 2016 165 91 Apr 16, 2016 #5 migeda said: Nimehamishiwa kikazi mkoan Click to expand... Weka namba ya simu kama hautojali