Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,986
- 20,400
Mbona huyo mtume hakukimbia itigi au NamtumboMtume Muhamad hajawahi kuwa mfalme wa saudi na dini ilikuwepo tangu enzi za Adam..Mtume mwenyewe kapata ukinzani hapo saudi kweny Uongozi ila mfalme yule alimpokea ...Mtume alishakimbia hata mji wa mecca kwenda Madinnah kutokana na njama mbaya ....Mtume yeye kaelezwa kuhusu msikitini ule ili aende sio mawazo yake kutoka kichwani ila ni Ujumbe kashushiwa...
Saudia ni nchi kama nyingine kama haujui sasa na Vatican ilikuwa ndani ya italy ikajitenga ...Mji wa Mecca ni sehemu ya saudi kweny kaabah sio saudia yote ..