Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,766
Huyo ni mfalme ambaye ni kiongozi wa nchi ...Sasa kuwa kiongozi na kuwa na dini wapi na wapi?Nani custodian wa Makha na Medina kwa sasa kama sio huo Ufalme wa Saudia.
😆😆 Huyo mwenye nchi
Huyo ni mfalme ambaye ni kiongozi wa nchi ...Sasa kuwa kiongozi na kuwa na dini wapi na wapi?Nani custodian wa Makha na Medina kwa sasa kama sio huo Ufalme wa Saudia.
Na vipi Pombe iwe haramu wakati kwenye kitabu kitakatifu mmeahidiwa kukuta mito ya pombe peponi!? Inamaana mmeahidiwa kitu haramu kama malipo ya utakatifu wenu!!!?? Niweke sawa hapo....
Toka enzi za adam mbona mtume yeye ndo aliyeshushiwa quran kama uislamu ulikuwepo tokea enzi za adam mtume asingeshushiwa quranMtume Muhamad hajawahi kuwa mfalme wa saudi na dini ilikuwepo tangu enzi za Adam..Mtume mwenyewe kapata ukinzani hapo saudi kweny Uongozi ila mfalme yule alimpokea ...Mtume alishakimbia hata mji wa mecca kwenda Madinnah kutokana na njama mbaya ....Mtume yeye kaelezwa kuhusu msikitini ule ili aende sio mawazo yake kutoka kichwani ila ni Ujumbe kashushiwa...
Saudia ni nchi kama nyingine kama haujui 😆😆sasa na Vatican ilikuwa ndani ya italy ikajitenga ...Mji wa Mecca ni sehemu ya saudi kweny kaabah sio saudia yote ..
Hao viongozi ndo wanaoamua wewe uende kuhiji macca au usiende na huna cha kuwafanyaHuyo ni mfalme ambaye ni kiongozi wa nchi ...Sasa kuwa kiongozi na kuwa na dini wapi na wapi?
😆😆 Huyo mwenye nchi
Linganisha ubaya wa pombe na ubaya wa Bokoharam na Isis.Ndio pombe ni ufunguo wa kila shari ...Pombe inapelekea njia ouvu kwa kiasi kikubwa.
Pombe ya peponi kama energy ya duniani tu haileweshi wala haitoi akiliNa vipi Pombe iwe haramu wakati kwenye kitabu kitakatifu mmeahidiwa kukuta mito ya pombe peponi!? Inamaana mmeahidiwa kitu haramu kama malipo ya utakatifu wenu!!!?? Niweke sawa hapo....
Pombe boko haram marekani isis na israhell ni vitu hatari sanaLinganisha ubaya wa pombe na ubaya wa Bokoharam na Isis.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Inaanza kidogo kidogo kuna siku pombe itauzwa makka na madina tuko apa we kalia sijui hijaaz watawala wa saudia sio WaislaamNchi ya mtume ni Hijjaz yaani Makkah na Madina.
Huko Riyadh panaitwa Najd, siyo nchi makazi ya mtume!. Kama watu wa Najd wanataka kufanya mambo yao wafanye tu lakini uchafu huo kamwe hautotia mguu Makkah na Madina!.
Nasikia huko Najd siku hizi wamefungulia maconcert, disco mtindo mzima.
Ufalme wa Saudia unaipenda dunia,wacha waitafute na wataipata!
Cc Faiza Foxy.Duka la kwanza la kuuza Pombe kufunguliwa Saudi Arabia baada ya miaka 70 ya Maisha bila Pombe
Duka hili ni maalum kwa wahamiaji wasio Waislam. Duka hili litakuwa mjini Riyadh.
Source: Jambo TV
===========
Saudi Arabia imesema itafungua duka la pombe kwa wahamiaji maalum wasio Waislamu mjini Riyadh, likiwa ni la kwanza kufunguliwa kwa zaidi ya miaka 70
Wateja wa eneo hilo watakuwa wafanyakazi wa Balozi mbalimbali ambao kwa miaka mingi wameagiza pombe kutoka nje katika vifurushi rasmi vilivyofungwa vinavyojulikana kama mifuko ya kidiplomasia
Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa Shirika la Habari la Kimataifa la Uingereza (BBC) leo, Alhamisi Januari 25.2024 imeeleza kuwa Serikali ya Saudi Arabia imesema duka hilo litakabiliana na 'biashara haramu ya pombe' inayotajwa kushamiri kwa sasa Nchini humo
Marufuku ya kuuza pombe imekuwa sheria tangu 1952 baada ya mmoja wa watoto wa kiume wa Mfalme Abdulaziz ambaye alikuwa amekunywa hadi kulewa kumuua kwa kumpiga risasi Mwanadiplomasia wa Uingereza wakati huo
Kulingana na waraka ulioonekana na Mashirika ya Habari ya Kimataifa ya AFP na Reuters kwa nyakati tofauti wametoa taarifa kuwa Duka hilo jipya litakuwa katika eneo linalopendwa sana na wanadiplomasia hao Magharibi mwa katikati ya jiji
Watumiaji wataruhusiwa kunywa ‘pointi’ 240 za pombe kwa mwezi ambapo lita moja ya vinywaji vikali itakuwa na thamani ya pointi sita, lita moja ya divai pointi tatu na lita moja ya bia pointi moj
Pia hakuna mapendekezo kwamba wateja wataongezwa na kuorodhesha wageni 'wa kawaida'
Chini ya sheria ya sasa ya Saudia, adhabu za unywaji pombe zinaweza kujumuisha faini, kifungo cha jela, kuchapwa viboko hadharani na kufukuzwa nchini kwa wageni ambao hawajaidhinishwa.
Hati hiyo pia ilisema mamlaka inapanga mfumo mpya wa udhibiti ambao pia utaruhusu kiasi maalum cha pombe kuletwa na wanadiplomasia ili kukomesha ubadilishanaji usiodhibitiwa wa bidhaa kama hizo
Kwa miaka mingi wafanyakazi wa kidiplomasia wamelazimika kutumia "pochi" zao, ambazo haziwezi kuingiliwa na mamlaka katika nchi mwenyeji, kuleta kiasi kidogo cha pombe
Credit: Jambo Tv
Hata mimi inanishangazaInaanza kidogo kidogo kuna siku pombe itauzwa makka na madina tuko apa we kalia sijui hijaaz watawala wa saudia sio Waislaam
Missile ndugu yangu acha kujipa moyo.Nchi ya mtume ni Hijjaz yaani Makkah na Madina.
Huko Riyadh panaitwa Najd, siyo nchi makazi ya mtume!. Kama watu wa Najd wanataka kufanya mambo yao wafanye tu lakini uchafu huo kamwe hautotia mguu Makkah na Madina!.
Nasikia huko Najd siku hizi wamefungulia maconcert, disco mtindo mzima.
Ufalme wa Saudia unaipenda dunia,wacha waitafute na wataipata!
There are no credible historical sources or evidence to support the claim that King Abdulaziz of Saudi Arabia killed a United Kingdom ambassador due to the influence of alcohol, and that this incident was the reason for the prohibition of alcohol in Saudi Arabia since 1952.Saudi arabia wameona mbali, sasahiv patakuwa kama marekani
Mkuu vipi mbona kwa ukali? Unayo passport ya Saudia?Nchi ya mtume ni Hijjaz yaani Makkah na Madina.
Huko Riyadh panaitwa Najd, siyo nchi makazi ya mtume!. Kama watu wa Najd wanataka kufanya mambo yao wafanye tu lakini uchafu huo kamwe hautotia mguu Makkah na Madina!.
Nasikia huko Najd siku hizi wamefungulia maconcert, disco mtindo mzima.
Ufalme wa Saudia unaipenda dunia,wacha waitafute na wataipata!
As long as they are in bed with the Americano, very soon hata kitimoto itauzwa kwa ”wasio” waislam…..There are no credible historical sources or evidence to support the claim that King Abdulaziz of Saudi Arabia killed a United Kingdom ambassador due to the influence of alcohol, and that this incident was the reason for the prohibition of alcohol in Saudi Arabia since 1952.
The prohibition of alcohol in Saudi Arabia has historically been associated with Islamic principles and the implementation of Sharia law rather than with a specific incident involving a foreign ambassador. The decision to ban alcohol consumption in the kingdom is firmly rooted in religious and cultural values that have shaped Saudi society for centuries.
It's important to remember that historical narratives can often be shaped by rumors, myths, and inaccuracies. When examining historical events, it's crucial to rely on credible sources and scholarly research to ensure accuracy and avoid spreading misinformation.
If there are other aspects of Saudi Arabia's history or the prohibition of alcohol in the country that you would like to explore, please feel free to ask, and I'd be happy to provide information based on reliable sources.
CC artificial Inteligent