Dudu baya a.k.a Mamba nimemuelewa kuhusu Chidi

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,438
32,248
Anakwambia hakuna atakae msaidia Chidi bila ya yeye kujisaidia huko kujisaidia yapaswa kusema yeye mwenyewe anataka kuacha kutumia ngada.

Kasema hata Magufuli ampeleke Marekani kutibiwa bado hatopona mana dhamira yake haijakubali kuacha. Kamtolea mfano Ray C kwamba bado anakula ngada huko Bunju kaenda mbali zaidi anakwambia hata waunganishe nguvu Diamond na Babu tale bado haitosaidia bila ya yeye kujitambua na kuyakataa.

Madawa ya kulevya ni janga kubwa sana.
 
Dudu Baya ametoa point ya Msingi .... Swala la msingi ni Chid kuamua kuacha Ngada...


Amani kwa Voda Milionea, Mwambie mdogo ako aache poda ale mmea...... Chidi kaacha mmea anakula Poda

R.I.P Langa

R.I.P Mangwea

R.I.P Mabovu

R.I.P
 
Watanzania tunapenda fame sana. Wanampeleka huko sober house kwa vishindo kila mtu aone af hawataki kumtembelea,
Chid watukaneeeeee na uwachaneeee
 
Mimi sijaelewa bado,inamaana Chidi kayarudia madawa au ???
 
Kuacha hiyo makitu sio kazi rahisi inabidi kujitoa muhanga... unaweza ukafa...alosto yake ni unakua mgonjwa kabisa...binafsi nilivyoacha sigara niliumwa siku mbili sasa hao wa sembe sijui inakuaje...mitihani mingine sio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…