Droo ya Nusu Fainali ya UCL na UEL

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Droo hii inafanyika leo Ijumaa tarehe 21/04/2017 moja kwa moja kutoka Nyon nchini Uswizi yalipo makao makuu ya UEFA.

Itaanza droo ya Uefa Champions League ( UCL ) kisha kufuatiwa na droo ya Uefa Europa League ( UEL )

Semi Final ya Uefa Champions League
Juventus Vs Monaco
Real Madrid Vs Atletico Madrid



Semi Final ya UEL
Man Utd Vs Celta Vigo
Lyon Vs Ajax
 
Arsenal sijui tunakosea wapi!

kwa hiyo bro huoni kabsa tatizo ni nn!!? hapo nakufananisha na bodi yenu, hivo mpaka saaa hawajui tatizo ni nn. wakat tatizo hilo hilo wanataka walipe mkataba mwingine hahah.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…