Hii nchi kwa sasa inatia aibu kuliko hata Burundi .
Sema mlipa kodi, na si mkwepa kodi. Ww hata TIN namba huna, leseni hata ya udereva huna alafu unajifanya unajua habari za kodi!!!Mbowe ni mkwepa kodi mkubwa wa serikali lakini chadema wanamlinda.
Alitakiwa afukuzwe hata huo ukiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni
Fafanua sasa maana huyo Dr wa CHADEMA haeleweki wala haielewi Nchu yetu
yye kaingia mkumbo tu wa kupinga chochote cha Serikali
Mkuu hujakosea..Hii nchi kwa sasa inatia aibu kuliko hata Burundi .
Ukiacha uharamia wa Nkurunzinza bado bungeni wanao uhuru wa kuuliza maswali na kujibiwa .Mkuu hujakosea..
Burundi nzuri.
Kwa mara ya kwanza taarifa za wabunge wa ccm kuhongwa nilizipata BBC , hakika ccm inatudhalilisha sana nje ya nchi .Narudia tena kuandika humu JF Naibu Spika Tulia aliteuliwa na kupewa hiyo nafasi kwa kazi maalumu hapo anatimiza wajibu wake kwa aliyemtuma ukweli utajulikana muda mfupi ujao. Bunge limekuwa sasa sehemu ya kuficha maovu hata lile swala la wabunge wa CCM kuhongwa milioni 10 kila mbunge wa CCM wapitishe muswada wa habari huyu Spika alizuia Waziri Mkuu kujibu zile tuhuma.
Yahya Jammeh alikuwa na wapambe kuliko hawa akina Polepole na Makonda lakini moto ulipomuwakia hakuna mpambe aliyemuokoa .Yana Mwisho haya mambo, tujifunze kwa tawala nyingine Afrika na Duniani kote mwisho wake ulikuwaje?.......
Fafanua sasa maana huyo Dr wa CHADEMA haeleweki wala haielewi Nchu yetu
yye kaingia mkumbo tu wa kupinga chochote cha Serikali