Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,687
- 149,903
Hayo yaanzishie mada yake.mzimu wa Slaa bado utawatesa sana chadema! mashinji ameonesha dhahiri udhaifu wake!
Right on.Akuonyeshe wewe kama nani?
Kwa misingi ipi? Ni lazima kikatiba/kisheria?
Ghalasa mmelamba wenyewe mnaanza kusumbua watu!
Wabongo wengi Canada ni Ulaya
U S A ni Ulaya
Australia ni Ulaya....
Pikipiki zote ni Honda na vituo vyote vya kujazia mafuta ni sheli!
Kwasababu aliwahi kutuambia kuwa alikuwa anakula mihogo nina maswali yafuatayo kwake.
1.Kutoka kula mihogo mpaka kusoma Ulaya(kama ni mwanafunzi) hii ni hatua kubwa sana na ya kupongeza ila atuambie tu ni nani anagharamia masomo yake/nani alimwezesha?
Itakuwa vizuri zaidi kama atatuonyesha na "admission letter" yenye tarehe zile zile au tarehe zinazokaribia kipindi kile anaondoka nchini.
2.Kama ni mwajiriwa,atuonyesha barua ya kuitwa kazini/kuajiriwa ya tarehe zile zile alizoondoka nchini maana huwezi kwenda kuishi Ulaya ghafla tu kama huna ajira ya kueleweka na kwa hadhi yake hatutarjii alienda Ulaya akitegemea kuishi kwa kazi za vibarua/kazi za kubahatisha.
Ikiwezekana atuonyesha na kibali cha kufanya kazi cha tarehe zile zile alizoondoka nchini.
Kama ni mfanyabiasha huko Ulaya hivi sasa, tunaomba atueleze ni wapi alipata mtaji wa kwenda kufanya biashara huko Ulaya.
Karibu mh.kwa ufafanuzi.
Hiyo ni North America lakini hapa hiyo sio issue kubwa.Wabongo wengi Canada ni Ulaya
U S A ni Ulaya
Australia ni Ulaya....
Tatizo huwezi kuelewa kwanini kauliza ila kwa muelewa hakutakiwa kuuliza hili swali lako.Yaani sijakuelewa.......
Akueleze hayo yote kwa minajili gani.....?.....unamdai.....?
Halafu Canada ni America ya Kaskazini........
Haahaaa umenikumbusha mbali, kuna dada mmoja alilala na mcongo asubuhi akaambiwa achague $20 au elfu 80 akachukua $20Kila mzungu ni tajiri...
na dollar 1000 ina thamani kuliko milioni 2 na nusu tshilings....
Haahaaa umenikumbusha mbali, kuna dada mmoja alilala na mcongo asubuhi akaambiwa achague $20 au elfu 80 akachukua $20