Angekua katika sekta ya uzalishaji na uwekezaji ningemuelewa,ila yeye anakusanya tuu hana cost of production ni kupanga investment tuu.Kila mtu anaweza hilo

Dr. DAU yuko vizuri sana. Kimei,Nehemia na Dau ni Wachapakazi wenye Akili maarifa na ubunifu wa hali ya juu. Dr. DAU wakati akiwa Marketing Manager Bandari aliwezesha nchi nyingi sana kupitisha mizigo bandari mpaka Africa ya kati wakati fulani.