Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,127
Ni ajabu na kweli.Alikuwepo wakati anashauriwa?
ana uhakika hata kuna 'washauri'?
na hao washauri wanapata nafasi ya kushauri?
na kusikilizwa?
Why kila Rais anapochemka wanatafutwa watu wa kuwatupia lawama?
Dr.Benson Bana ni MFUASI WA LOWASSA.Eti anajitia bado mwana CCM, ni unafiki tu.Pili, analipa kisasi kwa JPM baada ya majunior kuteuliwa na yeye kuachwa. Tatu, huyu jamaa ni lofa tu. Siyo mwanasheria. Eti anasema ku forge vyeti siyo kosa la jinai.Huu ni umbumbu wa sheria uliopitiliza kiwango. Tena anasema eti wengine walikuwa wanafanya kazi vizuri. The end does not jusfy the means. Hivi mtu akiua binadamu mwenzake, baada ya kuua akaenda kusali kanisani au msikitini, je tendo jema hilo la kwenda kusali litafuta kosa la kua? Amefilisika kifikra.Mhadhiri huyo maarufu na mkereketwa wa chama cha kijani ameyazungumza haya maneno akiwa anahojiwa na kipindi cha mizani ya week Azam two television .Aliongeza na kwenda mbali zaidi kwa kushauri kungekua na utaratibu mwingine wa kulishugulikia suala la kughushi vyeti aidha kwa kupewa muda au vinginevyo na sio adhabu kali waliyopewa
Akiwa anazungumza kwa mifano na masikitiko alinukuliwa kuwa kuna daktari mmoja anayemfahamu alisoma clinical officer kwa kughushi cheti cha form four lakini ni daktari mbobezi tu ameokoa na anatibu watu wengi tu ila yumo kwenye list ,tutafute njia au namna nyingine ya kuwapima watu ,mtu kama dereva unahitajia nini elimu ya form four?ikiwa kusoma na kuandika na kuzielewa alama za barabani anaweza"?alihoji
"Alienda mbali zaidi na kusema unaweza ukakuta hawa baadhi ya watumishi walioghushi kwenye appraisal za kila mwaka kwa mujibu wa serikali walikua wanapata daraja la kwanza"
Hakusita kutoa la moyoni kuwa hakubaliani kuwa suala walilolifanya ni jinai ,pia alilaumu kwanini uhakiki uishie kwa watumishi wa kawaida tu bila wakuu wa wilaya ,mikoa,wabunge na madiwani
Hakusita pia kui kosoa report ya ukaguzi wa vyeti kwa kuuliza idadi ya watu 1500 ambao vyeti vyao vinafanana ,ufanano wake upo kwenye credits,majina au shule na vyuo?hii report haijakaa sawa alikazia"
Mwisho kabisa aliishauri serikali ifanyie reform utumishi wa umma
My take:Mkuu mfikirie Bana sijatarajia alivyoonyesha criticism za wazi wazi amekitetea sana chama tena kwa ukihiyo wa kiwango cha lami na kuisahau PHD yake ,matumaini ya cheo yameanza kupotea na watetezi wako wanapungua kwa kasi ya ajabu huku nyikani
Unashangaa wateule?mpaka Kabula aliuziwaBila ya haya kabisa wanasema wateule sio watumishi wa umma mbona nyumba za serikali waliuziwa..Unafiki uliovuka mipaka
Hapa na mm nashangaaaAlishauriwa na nani? Wakati yeye hashauriki
Basi sawaHasira za Uteuzi
Tatizo lao ni unafiki tuu,ikoronga shida ni washauri wakifurahishwa hawawasifu washauri.Alikuwepo wakati anashauriwa?
ana uhakika hata kuna 'washauri'?
na hao washauri wanapata nafasi ya kushauri?
na kusikilizwa?
Why kila Rais anapochemka wanatafutwa watu wa kuwatupia lawama?
Mkuu huku kuumia kidogo kuwaguse wotee,Au na yeye aligushi cheti cha form 4!!!sijamwelew hapa!!!wamegushi wamegushi basi!!huyo clinical officer akamtibu yeye!!!jamani reform yoyote ile lazima watu waumie!!!Hata Yesu alikubari kufa ili ulimwengu uokolewe!!!
Ukihiyo wa kiwango cha lami.Mhadhiri huyo maarufu na mkereketwa wa chama cha kijani ameyazungumza haya maneno akiwa anahojiwa na kipindi cha mizani ya week Azam two television .Aliongeza na kwenda mbali zaidi kwa kushauri kungekua na utaratibu mwingine wa kulishugulikia suala la kughushi vyeti aidha kwa kupewa muda au vinginevyo na sio adhabu kali waliyopewa
Akiwa anazungumza kwa mifano na masikitiko alinukuliwa kuwa kuna daktari mmoja anayemfahamu alisoma clinical officer kwa kughushi cheti cha form four lakini ni daktari mbobezi tu ameokoa na anatibu watu wengi tu ila yumo kwenye list ,tutafute njia au namna nyingine ya kuwapima watu ,mtu kama dereva unahitajia nini elimu ya form four?ikiwa kusoma na kuandika na kuzielewa alama za barabani anaweza"?alihoji
"Alienda mbali zaidi na kusema unaweza ukakuta hawa baadhi ya watumishi walioghushi kwenye appraisal za kila mwaka kwa mujibu wa serikali walikua wanapata daraja la kwanza"
Hakusita kutoa la moyoni kuwa hakubaliani kuwa suala walilolifanya ni jinai ,pia alilaumu kwanini uhakiki uishie kwa watumishi wa kawaida tu bila wakuu wa wilaya ,mikoa,wabunge na madiwani
Hakusita pia kui kosoa report ya ukaguzi wa vyeti kwa kuuliza idadi ya watu 1500 ambao vyeti vyao vinafanana ,ufanano wake upo kwenye credits,majina au shule na vyuo?hii report haijakaa sawa alikazia"
Mwisho kabisa aliishauri serikali ifanyie reform utumishi wa umma
My take:Mkuu mfikirie Bana sijatarajia alivyoonyesha criticism za wazi wazi amekitetea sana chama tena kwa ukihiyo wa kiwango cha lami na kuisahau PHD yake ,matumaini ya cheo yameanza kupotea na watetezi wako wanapungua kwa kasi ya ajabu huku nyikani
wewe ni muongo, nani alikwambia hashauriki? hivi wewe ukiwa Rais utasikiliza na kutekeleza ushauri wa kila mtu yaani watanzania milion 50??? huyu anakwambia jenga barabara, yule anakwambia sitaki barabara nataka maji kwanza, yule anakwambia tuletee hospitali kwanza maji badae, yule anasema hatutaki ndege za bombardier, yule anasema nunua ndege za kutosha ila ziwe boeing, yule anasema tumbua watu, yule anasema usiwatumbue kwa kuwa kuna ndugu yake, mwingine anakwambia dawa hospitali hakuna- ukinunua madawa yakijaa, mwingine anakwambia madaktari hawatoshi, UTAFATA USHAURI WA KILA UNALOAMBIWA???? MWACHENI RAIS AFANYE KAZI ZAKEAlishauriwa na nani? Wakati yeye hashauriki
If yoy can not question the power of president then that person is not president but rather godjuzi wakati anafundisha yombo2 ndo nilichoka kabisa alivyokuwa anamtetea bashite
na kauli yake kubwa "you cant question power of the president"
[HASHTAG]#anaijua[/HASHTAG] public administration vilivyo bt ukada unamfanya afundishe kukitetea chama!
Kwasababu ni mtakatifu...Alikuwepo wakati anashauriwa?
ana uhakika hata kuna 'washauri'?
na hao washauri wanapata nafasi ya kushauri?
na kusikilizwa?
Why kila Rais anapochemka wanatafutwa watu wa kuwatupia lawama?