VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Yuko anakata mauno anafurahi mshahara ya ccm.sijaona mchango wake kwa Watanzania zaidi ya kukandamiza demokrasia ya watanzania na hakuwa mtumishi wa umma alikuwa kada wa ccm.
View attachment 367276
swissme
kufanyakazi na ccm lazima ujitoe ufaamu kwanza.Yuko anakata mauno anafurahi mshahara ya ccm.
Mnamo tarehe 9/7/2016,Balozi wa Tanzania nchini Uingereza na Mhadhiri Mwandamizi wa sheria-UDSM ,Dr. Asha-Rose Migiro amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria.
Dr. Migiro amezaliwa tarehe 9/7/1956. Kuanzia tarehe 9 mwezi huu amefikisha umri wa miaka 60.Kwasasa,bado ni Balozi wetu huko Uingereza. Amekuwa na utumishi wa kutukuka ndani na nje ya Tanzania.Hongera dada Dr. Asha-Rose Migiro!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
huyu mtoa mada ni kada wa ccmHawezi kuwa na uongozi uliotukuka kwenye serikali iliyojaa shutuma na iliyotizama sheria zikikiukwa huku akiwa waziri Wa sheria.
Mtoamada hapo kuna mawili,hujui maana ya uongozi uliotukuka ama u mnafiki. Pole Ila sijawa mnafiki kwako
Mkuu,niazime hiyo picha.
wewe kada wa ccm chukua tu hiyo picha maana mmeishachukua mali nyingi sana za Watanzania.Mkuu,niazime hiyo picha.
Mzee Tupatupa
You must be Jokking.Mnamo tarehe 9/7/2016,Balozi wa Tanzania nchini Uingereza na Mhadhiri Mwandamizi wa sheria-UDSM ,Dr. Asha-Rose Migiro amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria.
Dr. Migiro amezaliwa tarehe 9/7/1956. Kuanzia tarehe 9 mwezi huu amefikisha umri wa miaka 60.Kwasasa,bado ni Balozi wetu huko Uingereza. Amekuwa na utumishi wa kutukuka ndani na nje ya Tanzania.Hongera dada Dr. Asha-Rose Migiro!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
utumishi wa kutukuka maana yake nini?mbna hakumaliza mihula miwili UN,,,naomba ufafanuzi wa hilo neno .. tukukaa...Mnamo tarehe 9/7/2016,Balozi wa Tanzania nchini Uingereza na Mhadhiri Mwandamizi wa sheria-UDSM ,Dr. Asha-Rose Migiro amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria.
Dr. Migiro amezaliwa tarehe 9/7/1956. Kuanzia tarehe 9 mwezi huu amefikisha umri wa miaka 60.Kwasasa,bado ni Balozi wetu huko Uingereza. Amekuwa na utumishi wa kutukuka ndani na nje ya Tanzania.Hongera dada Dr. Asha-Rose Migiro!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Ha ha ha ha tupo pamoja mkuu. Karibuni Dodoma tutakapochagua bila kubagua Mwenyekiti wetu wa CCM.wewe kada wa ccm chukua tu hiyo picha maana mmeishachukua mali nyingi sana za Watanzania.
swissme