Dondoo za kupaa kichawi

Mshana somo hili linatundisha nini kaka?, si ulishastaafu!? napenda nimeet na wewe siku 1 kwani inaonyesha una nondo za kutosha kuhusu ulimwengu usionekana.

Hahahahaaaa, we mkareee, napenda sana the way ulivyo Openiwazi.
Somo la leo ni kutoa elimu juu ya kupaa ili usije ukaja kubabaishwa juu ya hadithi na hekaya za kupaa kichawi
 
Somo la leo ni kutoa elimu juu ya kupaa ili usije ukaja kubabaishwa juu ya hadithi na hekaya za kupaa kichawi
Haaya! tumekusoma, ila kumbuka leo ni sabato ya bwana! nyuzi kama hizi hazifai katika siku kama hii. pia ningependa siku moja uje na mchanganuo wa madhehebu na dini mbali mbali ili tujue kama tulipo ndiko?! au tulipo sipo?!
 
Haaya! tumekusoma, ila kumbuka leo ni sabato ya bwana! nyuzi kama hizi hazifai katika siku kama hii. pia ningependa siku moja uje na mchanganuo wa madhehebu na dini mbali mbali ili tujue kama tulipo ndiko?! au tulipo sipo?!
Ipo hiyo mbona? Tena ya mwaka jana mwanzoni ila niliitwa majina yote mabaya kwa wafia imani zao...nikiipata takutag
 
Kupaa kwa ungo huo ni usafiri wa wengi kama daladala na ni usafiri wa kimaskini
Kupaa kwa fimbo huu ni advanced na usafiri binafsi sana sana unaweza kumpa lift mtu mmoja na hapa kuna majini yanahusika
Kusafiri kiroho hii ni level ya juu kabisa ambako kwenye uchawi huu huu hakuna time limit wala umbali yani ni kama dunia iko kiganjani mwako na ni kiasi cha kujisogeza tuu
21cf706ec1d2e72aca86101e1e520f37.jpg

Dah......hiyo stand ya Porsche kiboko........hivi naweza kutumia soft broom.......au lazima liwe la mtimti.......?....
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    30.3 KB · Views: 40
45d2d062b21c3a5298530b3493ce704c.jpg
Si kila mchawi au mshirikina ana uwezo wa kupaa...uchawi na ushirikina una level zake kama ilivyo kwenye viwango vya elimu
Mchawi anayejipendekeza kupaa bila kupata maarifa kamili hujikuta akipiga mweleka mkubwa sana kutokana na uzito wake au vinginevyo
Na huko angani kuna tufani za kila aina Usijaribu kupitisha helicopter yako kwenye anga la Boeing hutafika safari yako
Lakini pia kwenye kupaa kuna mahesabu yake...kwamba utapaa upande gani na umbali gani na urefu gani.kwamba kama unaenda Lamu kwa mwendo wa kawaida pengine ni masaa matatu hivi lakini wewe unataka kwenda kwa sekunde tatu tuu inabidi ujigawe roho na mwili yani unacheza kamari na Mungu
Kwahiyo unautanguliza mwili kwanza kisha ndio roho hufuata...vikishafika vyote salama huungana tena na kuwa binadamu kamili na kuendelea na mambo yake

Mkuu ulisema utatupumzisha hii kwaresma, naona uvumilivu ...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom