Dondoo muhimu sana kwa wanaosafiri na magari binafsi kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
7,325
14,203
1702899252720.jpg

Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako
Jiandae ki saikolojia

1.Hakikisha gari iko vizuri
2.Safiri mchana tu
3.Waza kufika salama na si saa ngapi
4.Epuka mafuta ya vichochoroni
5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili
6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi
7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika
8.Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa
9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo
10.Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako
11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna
12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka
13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi
14.Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote
15.Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee
16.Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende

ÑB.
sina shaka utaambulia japo moja kati ya hayo
 
View attachment 2845994

Sawa mkuu imekaa vyema
 
Kuna mpumbavu mmoja alikuwa ananifuata nyuma nilikuwa naenda Songea. Alianza ligi na Mimi kwenye msitu wa Sao Hill pale, nikipunguza na yeye anapunguza mwendo, Mimi niko na Mack X yeye ana Vanigurd. Aisee nilichofanya nikatembea na 175, hakunipata. Nimefika Njombe nimepaki pale NBC kilimani nachukua salio namuona yupo wangu wangu kumbe ni Mbunge maarufu tu.
 
Mbunge wa Chama Cha Mazuzu
 
Kuna mjinga mmoja alikuwa ananifuata hivyo hivyo nikaamua kutembea!! Alisababisha nikamatwe kwenye 50 nimepita na 140 pumbavu kabisa yule!!
 
Kuna mpumbavu mmoja alikuwa ananifuata nyuma nilikuwa naenda Songea. Alianza ligi na Mimi kwenye msitu wa Sao Hill pale, nikipunguza na yeye anapunguza mwendo, Mimi niko na Mack X yeye ana Vanigurd. Aisee nilichofanya nikatembea na 175, hakunipata. Nimefika Njombe nimepaki pale NBC kilimani nachukua salio namuona yupo wangu wangu kumbe ni Mbunge maarufu tu.
175 unazungumzia km/h. ?

Masihara haya!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2845994

Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako
Jiandae ki saikolojia

1.Hakikisha gari iko vizuri
2.Safiri mchana tu
3.Waza kufika salama na si saa ngapi
4.Epuka mafuta ya vichochoroni
5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili
6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi
7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika
8.Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa
9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo
10.Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako
11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna
12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka
13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi
14.Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote
15.Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee
16.Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende

ÑB.
sina shaka utaambulia japo moja kati ya hayo
Hii point no 2 binafsi kwa uzoefu wangu naona ni bora nisafiei usiku kwakuwa maeneo hatarishi kama kona naweza nikaona taa za gari inayokuja mbele yangu. Mchana inakuwa ngumu kwa wale wenye kupenda kutanua.
 
Kama unaenda mikoani usiku ni salama zaidi isipokuwa Dar ~Morogoro usiku kuna msongamano mkubwa sana eneo wa magari hasa maroli...
 
Back
Top Bottom