Innocent Kirumbuyo JF-Expert Member Jan 1, 2014 4,640 4,447 Jul 3, 2022 #21 pwilo said: Dogo asubiri kuokota makopo kagombana na miungu wa muziki Tanzania Ila kusimama mwenyewe anaweza lakini fela, tale hawatakubaliana na hilo Click to expand... Atimaye dogo yupo kusikojulikana
pwilo said: Dogo asubiri kuokota makopo kagombana na miungu wa muziki Tanzania Ila kusimama mwenyewe anaweza lakini fela, tale hawatakubaliana na hilo Click to expand... Atimaye dogo yupo kusikojulikana
Plan Master JF-Expert Member Jan 1, 2021 2,188 3,753 Jul 3, 2022 #22 Mnapenda almasi apotee alafu akishapotea nyie mtafaidika na nini? Na akiwa juu nyie mnapungukiwa na nini? Wabongo tuacheni chuki kisa mafanikio ya mtu tufanyeni kazi tufanikiwe na sisi.
Mnapenda almasi apotee alafu akishapotea nyie mtafaidika na nini? Na akiwa juu nyie mnapungukiwa na nini? Wabongo tuacheni chuki kisa mafanikio ya mtu tufanyeni kazi tufanikiwe na sisi.