Kwanza unajua sababu ya Mwanza kuitwa Rock City...??Ukiachana na symbolic rock ya mwanza, dodoma naamini inaongoza kwa mawe na miamba mingi, nadhani ikifuatiwa na singida,
Dodoma ndo Rock city.
Mwanza ni Kibua city
Unazungumzia vijiji, wilaya ya Bahi pekee ina miamba mingi kuliko mwanza yoteAcha kuvuta bangi basi, nadhani Mwanza huifahamu Si ndio?
Ukanda wa kuanzia buzuruga Sinai mpaka igogo pote huko, mabatini mpaka Ghana huko mpaka jeshini, nyambiti....kitangiri huko juu bwiru n.k
Inaonyesha dhahiri una chuki sana na maendeleo ya Dodoma... Husda imejaa nafsini mwakoHiyo dodoma ni ukame, omba omba, vumbi city.
Tulia we mgogo nawaoneaje wivu nyie omba omba na wakoma.Inaonyesha dhahiri una chuki sana na maendeleo ya Dodoma... Husda imejaa nafsini mwako
Eti bhanaKwani hilo jina la Mwanza kuitwa Rock city ni jina rasmi official?
We mwanaume wa Dar kaa kimya wanaume wakiongea.Dream city = Dar es salama
Hizo nyingine zinabidi kuitwa village city
Kimsingi hakuna hoja ya kujibu hapo. Kama dodoma lingekuwa ni jiji la Miamba ingeitwa Rock city bila kuforce. Acha tu tuchambane.Hamjibu hoja mmebaki kuchambuana!
Eeh! Mbona makasiriko? Nimekuchulia mkeo kwani?Tulia we mgogo nawaoneaje wivu nyie omba omba na wakoma.