Dodoma ndo ilipaswa iitwe Rock city

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,505
5,438
Ukiachana na Symbolic rock ya Mwanza, Dodoma naamini inaongoza kwa mawe na miamba mingi, nadhani ikifuatiwa na Singida,

Dodoma ndo Rock city.

Mwanza ni Kibua city
 
Acha kuvuta bangi basi, nadhani Mwanza huifahamu Si ndio?

Ukanda wa kuanzia buzuruga Sinai mpaka igogo pote huko, mabatini mpaka Ghana huko mpaka jeshini, nyambiti....kitangiri huko juu bwiru n.k
 
Ukiachana na symbolic rock ya mwanza, dodoma naamini inaongoza kwa mawe na miamba mingi, nadhani ikifuatiwa na singida,

Dodoma ndo Rock city.
Mwanza ni Kibua city
Kwanza unajua sababu ya Mwanza kuitwa Rock City...??
Ukijibu hilo ndipp tutaendelea na mjadala wa kuihamisha Mwanza iwe Dodoma...🤣
 
Kwa hakika Mwanza ni jiji la miamba labda kama unataka ligi tu
 
Back
Top Bottom