Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,626
- 32,047
Ni mzigo mzito sana na Mtanganyika anayelipa kodi ndiye anaubebaMzigo wa Tanganyika huo.
Bajeti ya ZNZ inapata sapoti ya muungano
Hawajui bei wala bill ya umeme
Hawajui gharama ya muungano hata kuendesha kiidara kimoja
Hawana gharama za ulinzi wa ndani na usalama kwa ujumla
Hawana gharama za wizara ya mambo ya nje
Hawajui gharama za taasisi za kimataifa na kitaifa
Hawana gharama za wabunge wao wanaokuja kwa ajili yao
Hawana gharama za kusomesha watoto, wao wanapata HESLB bure
Wanapewa 4% ya makusanyo ya bara, makusanyo yao wakiweka kibindoni
Wanaruhusiwa kukopa, lakini dhamana ni ya mbara.
Mikopo inayoletwa kwa jina la Tanzania wanapata, mlipaji ni mbara
Orodha inaendelea......
Kwanini wasiweze kupandisha mishahara asilimia hata 100%