Dk. Mwaka afungua kampuni, ni ya vifaa vya afya, urembo na usafi

Hii inanikumbusha na kunipeleka ktk sekta ya habari

Gazeti la Mawio lilifungiwa maisha? lilifutwa? na Nape Moses Nnauye waziri wa habari na.....

Kilicho cha kweli ni kuwa kuna magazeti kama mawili hivi ya MwanaHalisi na Mseto yanaandika kwa sawasawa lilivyokuwa linaandika gazeti lililofutwa/fungiwa maisha!!

Utafungiaje kampuni au gazeti badala kufunga akili ya mtu inayosababisha hicho unachokichukia?
 
TFDA Bongo? Si kuliuzwa ARV feki hapa kinababa wakaota nyonyo ndani ya nyumba sokomoko toddlers hawajui nani mom nani dad?

Pita kule kwa kina Diamond swaiba wenu, maduka ya kuuza dawa za ushirikina yamejazana kibao, sijasikia wakikaguliwa wale. Ubani , sanda, maji maiti, kanzu nyekundu, ubani dhukra, ubani mashtakah, marash muje, yai viza, nazi mbovu, huko wala hamuwachongei TFDA, mgoomvi wenu Dk Juma tu kisa anapiga hela...acheni wivu wa kike!

Vipodozi si ndio vimefanya wengine mmeoana?
Kwa dongo hili lazima wakae
 
kwa style hii lazima jamaa alishadokezwa na wambea kuwa atafungiwa so akawa ameshaanza kujipanga. Haiwezekani ufungiwe leo eti baada ya wiki ushapata wazo jipya na utekelezaji umeanza sio rahisi
 
Back
Top Bottom