Dj Majizo, Muasisi wa muziki wa Mchiriku, Mnanda, Singeli redioni!

Hongera sana kwake Majay. Hatimaye na mimi uwa nasikiliza hizi nyimbo haswa za Msaga Sumu... Jamani unanitega shemeji unanitega shemeji ni wimbo mzuri
Hapo mimi huwa napenda unitege shemeji....unanitege shemejiii....yaah Majizzo hunipa burudani sana!
 
Sholo mwamba kitu sayona au sembe tembele bamia. Masela wa kambi kaboya. Bange kama yai.
 
Na mimi nimemshtukia,kuna shabaha anailenga huyu,ngoja tuone mwisho wa huu uzi km utaishia kuzungumzia hizo singeli..
Jamani jirani yako akifanya jambo zuri msifie hata kama humpendi....! Kwani tatizo nini?
 
MAJIZO KATOA AJIRA KWA VIJANA WENZIE PONGEZI ZAKE SANA
Na mimi hichi ndio namsifu zaidi maana mziki huu ulikuwa mgumu kupenya radion

Masela mida ya kubet..masela mida ya kubet...teh Teh
 
Taarab ya zamani hunifanya nisuuzike roho,
Ndo mana huwa sikauki kila wiki Mombasa kwenda kuburudika
 
nakukubali sana kaka majizzo kwa ubunifu wako na uchakarikaji...kw amuda mchache niliobahatika kufahamiana na wewe umeniinspire sana tatizo lako ni moja tu ukishapata unachokitaka unampotezea kama humfahamu vile!!!
Teh Teh vipi yamekukuta nini mchepuko? Ila jamaa ameleta mapinduzi!
 
Kuna wimbo mmoja
"Mabishano na zogo kubwa katika basi lile, kondakta anadai nauli yake na mgambo anadai yeye ni chombo cha dola"
Mi huwa nazipenda hizi za mnanda na mchiriku hasa hawa wanaoitwa jagwa music huwa zina ujumbe flani hivi kama stories.
 
Huyo Majizzo hata afanye nini he will never come closer to Ruge Mtahaba's success. Talk about the transformation in the modern-day media industry, and you'll never dare not mention his name.
 
Huyo Majizzo hata afanye nini he will never come closer to Ruge Mtahaba's success. Talk about the transformation in the modern-day media industry, and you'll never dare not mention his name.
Sasa nani kasema mambo ya Ruge hapa akanana jane lowasa?
 
Kuna wimbo mmoja
"Mabishano na zogo kubwa katika basi lile, kondakta anadai nauli yake na mgambo anadai yeye ni chombo cha dola"
Mi huwa nazipenda hizi za mnanda na mchiriku hasa hawa wanaoitwa jagwa music huwa zina ujumbe flani hivi kama stories.
Zina ujumbe sana huwa natulia sana kuwa sikiliza...
 
Back
Top Bottom