Dish la KU_band (dish dogo) na receiver ya FTA inawezekana?Njoo tujifunze hapa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Dish la KU_band na receiver ya FTA ukiset vizuri unaweza kupata channel ngapi?,
Utapata channel ngapi maana sio wote tunapenda madishi ya futi 6 au futi 8

Kuna mtu anatumia madishi madogo ya KU band atuambie yeye anapata channel ngp? ukiwa na receiver kama freesat ,mediacom na nyinginezo?

Haya madishi madogo ya KU band unapaswa kuwa na cm ngp? Mfano kuna ya cm 60, cm 75, cm 90,?

Dish lipi zuri linafaa kutumika kati ya la azam, startimes, continental au zuku?
Karibuni tujifunze wakuu napenda kufahamu hayo
 
Nadhani kuna uzi huo huku jf ulishapita ,ingia Google utapata link
 
Back
Top Bottom