darren gold
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 312
- 185
much respect kwake,nilidhani anaenda kucheza footballAngalau Jina la Tanzania litatanjwa mwaka huu kwenye michuano ya afcon inayofanyika nchini Gabon.
Msanii diamond atatumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo , huku wenyeji Gabon wakichuana na Guinea Bissau.
Timu ya taifa ya Tanzania taifa stars ilishindwa kufuzu michuano hiyo