Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,899
- 8,896
Wakuu, poleni na mfungo.
Kama mtakumbuka, siku chache zilizopita nilitoa angalizo kuwa matumizi mabaya ya fedha ya kijana wetu Diamond yanaweza kupelekea nyota huyu kufilisika na kujikuta anaungana na wasanii wengine waliowahi kung'aa lakini wameshafulia.
Kana kwamba Mungu alikuwa pamoja nami, leo utabiri wangu unaanza kutimia.
Akiongea na kipindi cha Amplifaya cha CLOUDS FM na kutoa maoni yake juu ya uamuzi wa serikali kupandisha ada ya kulipia number plate kwa watu wanaoweka majina yao kutoka shs milioni 5 hadi 10, mwanamuziki huyo amesema hana tena mpango wa kuweka jina kwenye gari lake na sasa atarudia utaratibu wa zamani wa kuweka namba kama watu wengine wafanyavyo.
"Unajua ule ulikuwa ni ujana tu, na mtu ukiwa kijana unataka kujaribu kila kitu. Ila kwa sasa nimeshakua hivyo sitoweka tena jina langu". Alisikika akijishaua nyota huyo wa WCB akijaribu kujikakamua ili kuonyesha ni kukua ndiyo kumemfanya abadili maamuzi lakini WENYE AKILI tumemshtukia.
My advice: Raia wema tunapotoa ushauri juu ya jambo lolote yapaswa tusikilizwe na siyo kuchukuliwa poa.
Upo "celebrities forum"!! Unataka tuzungumzie nini kwa mfano.. Ukitaka mambo ya bajeti 2016/2017, wanafunzi udom, kumuengua tulia nenda jukwaa la siasa.. Unafanya nini hukusimple minds ndo huwaga zinawa discuss watu, fanya yako na wewe.
The way Diamond anavyo chukuliwa serious na watanzania
ingekuwa hivyo hivyo na siasa za nchi hii tungefika mbali sana
Wakuu, poleni na mfungo.
Kama mtakumbuka, siku chache zilizopita nilitoa angalizo kuwa matumizi mabaya ya fedha ya kijana wetu Diamond yanaweza kupelekea nyota huyu kufilisika na kujikuta anaungana na wasanii wengine waliowahi kung'aa lakini wameshafulia.
Kana kwamba Mungu alikuwa pamoja nami, leo utabiri wangu unaanza kutimia.
Akiongea na kipindi cha Amplifaya cha CLOUDS FM na kutoa maoni yake juu ya uamuzi wa serikali kupandisha ada ya kulipia number plate kwa watu wanaoweka majina yao kutoka shs milioni 5 hadi 10, mwanamuziki huyo amesema hana tena mpango wa kuweka jina kwenye gari lake na sasa atarudia utaratibu wa zamani wa kuweka namba kama watu wengine wafanyavyo.
"Unajua ule ulikuwa ni ujana tu, na mtu ukiwa kijana unataka kujaribu kila kitu. Ila kwa sasa nimeshakua hivyo sitoweka tena jina langu". Alisikika akijishaua nyota huyo wa WCB akijaribu kujikakamua ili kuonyesha ni kukua ndiyo kumemfanya abadili maamuzi lakini WENYE AKILI tumemshtukia.
Endelea kupiga ramli
My advice: Raia wema tunapotoa ushauri juu ya jambo lolote yapaswa tusikilizwe na siyo kuchukuliwa poa.
Looh. Kwa kipi?Nope Boss huyu dada anampenda sana Diamond , atakuwa anataka Labda ...
Picha ya nini sasa ? Plate number?Leta picha tuamini.
simple minds ndo huwaga zinawa discuss watu, fanya yako na wewe.
Yangu ndiyo hayasimple minds ndo huwaga zinawa discuss watu, fanya yako na wewe.
Looh. Kwa kipi?