Washaanza kumbebesha sembe uyo dogo...juzi kati alikuwa south na washika dauuuu
Achana nae huyo manake wala hajui kwamba anatangaza products za WCB! Binafsi sijam-follow Harmonize kwahiyo nilikuwa sifahamu kabisa kuhusu huu mzigo!!!
Shardcole, ahsante kwa kunijuza kwamba kuna mzigo unaingia sokoni hivi punde!!!
yani wivu mpk mtu unajiuliza kuliko ni??
inakuwaje kila siku mtu huyo huyo kuanzisha thread za kumponda artist huyo huyo??. yani heeee, hem amwache mtoto wa watu!!
Sio kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu.
Bila kubeba sembe watamlipaje sasa lazma abebe tu hamna namnaWashaanza kumbebesha sembe uyo dogo...juzi kati alikuwa south na washika dauuuu
Mkubwa fela na yeye avae hii kitu aitangaze kama huyo dogo.
Wapi nilisema free mason kuuza sembe si kila mtu anajua chief kiumbe ndo alimfanya punda sanapwilo wewe jamaa haueleweki kabisa umesimamia wapi mara DIAMOND anauza sembe mara freemason/mchawi nikisema unachukia mafanikio yake nitakuwa nakosea ??????
Mkubwa fela na yeye avae hii kitu aitangaze kama huyo dogo.
Kidingi ujinga kivipi wakati wanatangaza biashara na sidhani kama amefanya bila ya maelewano DIAMOND si mpuuzi wa kiasi hiko wala Harmonize si mtoto wakufanya vitu asijue anafanya nini???????
Nimezipenda hizo boxer zinauzwa wapi
Madame B mzigo wa harmonize umeuonaje???????niku pm namba zakeNa wewe una mzigo kama huo?
Ila kuna yule modo sijui wa nchi gani nae anatangaza hizo biashara ya boxer......aiseee ni hatareeeeeeeeee.
Ana mzigo kama kabeba kilo 5 ya nyama steak, hadi raha.