Don't exaggerate mambo! Kwani umeambiwa huyo Harmonize anaitangaza hiyo bidhaa kwavile amesaidiwa? What if kama mkataba wake unahusisha kutangaza products za WCB? Kama shida yako ni kuona na wengine wanapiga nazo picha including Diamond basi stay tuned manake hakuna jipya hapo ni kv tu Diamond.... yaani ni hapa:Mi nampenda sana Diamond lakini kwa nini asipige picha yeye mwenyewe kama ni kitu kizuri? kwanza yeye ni maarufu zaidi. Unapomsaidia mtu Diamond inatakiwa uwe makini kwani hii nami haikunifurahisha kwa kweli!
Wakuu Harmonize ni msanii chipukiz ambaye nimetokea kumuelewa sana hivi karibuni na kibao chake "Aiyola",
Lakini tatizo huwa najisikia huzuni jinsi huyu kijana anavyotumiwa vibaya na Mondy, sababu kafanywa kama shamba boy pale madale.
Hiyo tisa, ya kumi hii ni kiboko, kumtumilia vibaya harmonize kwenye matangazo ya namna hii ya boxer za kampuni yako wasafi, mi naona ni undhalilishaji na sio kingine, hata kama mtu unamsaidia lakin hii hapana,
Huu sasa wivu