Diamond ajibu tuhuma za kudharau Redio na TV

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
CEO wa Wasafi, Diamond Platnumz amedai kuwa kitendo cha baadhi ya watangazaji na waandishi kushikilia kumzungumzia na kumuandika kwa Mambo mabaya, cha kujipotezea muda kwao.

Kwenye exclusive interview na Prince Ramalove kupitia Kings FM, Diamond Alifafanua kauli yake ya kusema kuwa yeye hategemei Redio wala TV
pindi anapotoa nyimbo zake kwa sasa.

“Unajua kwamba kuna kiwango unapofikia,unapokuwa na mashabiki
wengi,lazima uongeze ufanisi wako wa usambazaji wa kazi zako.Tuna redio tuna TV, lakini pia lazima tuongeze namna zingine za kupromote kazi zako,” amesema Diamond.

“Wasanii wanatakiwa wajiongeze, sasa naona kuna watu wameichukua tofauti na kuipindua kumtengenezea mtu baya,lakini wanapoteza muda.”

Diamond ameongeza kuwa yeye anaheshimu vyombo vya habari na hata kama kuna watu wanadai amefika alipo kwa mchango wao, yeye anaheshimu pia.

 
Huyo ndio nasibu bwana kuna wale mabwa.. a wa eatv ndio wanajiona wao ndio radio yao inajua kupindua maneno, tunajua wao ni team tembo na hamlazimishwi kupiga nyimbo za mond cos radio kubwa tz ni clouds na wapo nae % kwanza kama yule ambua darasa la 7 hajui hata ethics za utangazaji
 
Mzee wa kuongea kiinglish agara go geaa. Ila Nakupenda mwaya mdg wangu
 
Back
Top Bottom