Diamond afunguka baada ya Zari kumtembelea Ivan,amtaka Zari aache kupost kila kitu mtandaoni

Diamond umetumia busara sana kwani ugonjwa waweza kumpata mtu yeyote.
Ivan ni kweli alipatwa na BP na mishipa miwili kichwani ilipasuka na kupeleka kupata minor stroke. Yuko kwenye life support machine. Tumuombee mungu amjaalie afya njema.

Diamond bila kupenda ana maslahi sababu watoto wa kufikia ni wa kwake pia kiutamaduni na wale wapambe wa ivan sio wa sport wanaweza wakageuka bosi wao akitoweka. Mzigo utabaki kwa chibu kuwalea vijana wale watatu.
 
Ndo ivo Shunie. Usije ukamkataa kijana mwenye maisha ya kawaida ukaangukia kwa tajiri mwenye utajiri wa masharti. Utajutaa! Huenda na Zari analijua hilo ndio maana akaamua kumtelekeza mapemaa, baada ya kuchuma vyake.
kama ni hivyo pole yake
 
"Diamond bila kupenda ana maslahi sababu watoto wa kufikia ni wa kwake pia kiutamaduni na wale wapambe wa ivan sio wa sport wanaweza wakageuka bosi wao akitoweka. Mzigo utabaki kwa chibu kuwalea vijana wale watatu."

Hapo Chibu ndo ataelewa kwanini bata huhara tu bila hata ya kuumwa tumbo..
 
Pole sana Kaka Ivan..Mungu akufanyie wepesi upone...

Diamond vitu vingine kausha, kiki na kuumwa serious wapi na wapi?? Kiki muachie Harmo Rapper
 
Hio picha inasemekana ni ya dokta ulimboka kipondi ana hali mbaya baada ya kutekwa. Watu wameshadidia ni ivan aisee watanzania tunatia aibu sana
Huyo si ulimboka km unamjua vzr ulimboka hafanani kbs na ivan...ni ivan huyi ....lkn huyu aliyepiga picha hizi ni ushenzi na kukosa utu
 
Mbeleni tutajua ukweli wote, ila ulimboka aliumuka sana mpaka kusahaulika sura halisi
Huyo si ulimboka km unamjua vzr ulimboka hafanani kbs na ivan...ni ivan huyi ....lkn huyu aliyepiga picha hizi ni ushenzi na kukosa utu
 
Haya ndio matatizo ya utajiri wa masharti ya miaka saba. Wakati bata ndio zimekolea, mara mda wako nao unakuaw umeisha hivyo inabidi uage Dunia. Pole sana shem wetu wa zamani... Tamaa ya utajiri imekuponza. Sasa unakufa kijana kabla ya umri muafaka uliopangiwa na Mola!
Umeajuaje atakufa??wewe hutokufa??utakufa na miaka 200??..mtu achekw maradh...
 
Chibu analala na Zari kitanda kimoja... hivi anashindwa nini kumwambia wakiwa wote kua asipost vitu mpk apate airtime clouds?! Nahisi bro anavumilia mambo mengi, yeye ndio anajua.

Mkuu usisahau hawa ni "WASANII"
 
Mbeleni tutajua ukweli wote, ila ulimboka aliumuka sana mpaka kusahaulika sura halisi
Swala si kuumuka...ulimboka hakufanyiwa operation ya kichwa ...wala kuwa totaly unconsious wala kuwekewa several mashine km hizo..
Huyo ni ivan kafanyiwa operation ya kichwa kwaajili ya kuondoa blood clot kwenye ubongo...
956b8462a7f6cb39935b2ec88e69a635.jpg
 
Sawa
Swala si kuumuka...ulimboka hakufanyiwa operation ya kichwa ...wala kuwa totaly unconsious wala kuwekewa several mashine km hizo..
Huyo ni ivan kafanyiwa operation ya kichwa kwaajili ya kuondoa blood clot kwenye ubongo...
956b8462a7f6cb39935b2ec88e69a635.jpg
 
Kwamba wanaelewana na angehitaji hela ya matibabu angempa?
Binafsi ni mpenzi wa nyimbo za Diamond.
Ila kwenye kujibu maswali bado hajaweza kumudu vizuri
Nadhani anapaswa kuendelea kujifunza zaidi na zaidi kutoka kwa wenzake
niliwahi kusikiliza interview yake na Ommydimpoz kipindi kile cha kupumuliana
But to Ommy I was like waoooo! What an amazing interview
Hahahha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom