Nilisikia walikuwa madereva wa daladalaNilipanda basi la Mwendo Kasi kutoka Kariakoo kwenda Ubungo asubuhi hii kwenye saa 2 na robo hivi. Nimemshangaa Dereva wa basi namba T144DGW anavyoendesha kwa speed kubwa na kutoacha nafasi ya kutosha kati yake na mwenzake aliye mbele yake! Anafanya michezo kama dereva wa daladala, anamfuata mwenzake kwa karibu mno na kusababisha kufunga breki za ghafla pale mwenzake wa mbele anapopunguza mwendo au kusimama. Kuna wakatinilihisi kwamba atamgonga yule wa mbele! Hata aliposimama kituo changu cha Shekilango, jamaa anaingia kituoni kwa speed na nafasi aliyoicha kati yake na sakafu ya kituo ni sentimita chache tu tofauti na wenzake wanavyosimama.
Naomba Mamlaka ya husika imuonye Dereva huyo ajirekebishe la sivyo ataisababishia hasara Serikali muda si mrefu. Hawa madereva wakumbuke kwamba haya magari pamoja na miundombinu yake vimegharimu fedha zetu nyingi, kwa hiyo wawe waangalifu. Nashauri pia wapimwe kama wamelewa kabla ya kukabidhiwa magari hayo.
Mungu ibariki Tanzania.
Mi nafikiri tatizo sio mwendokasi, tatizo ni udereva usio zinagtia kanuni za udereva. Kuendesha bila kuacha mita sita baina yako na aliye mbele ni kosa kubwa sana kwasababu wa mbele akifunga breki ni rahisi kumgonga.
Kuhusu suala la speed sitaki kuzungumza maana kwa ufahamu wangu ni kuwa magari haya ya mwndokasi hayakimbii hata kidogo! Ukweli ni kuwa yameitwa ya mwendokasi kwasababu hayakai kwenye foleni na si kwasababu yanakimbia. Waliopanda magari haya ni mashahidi kuwa magari haya hayafikishi hata spidi 80, muda mwingi yanatembea na spidi 40 hadi 60 au 70 hivi. Mtu anavosema linakimbia lilikuwa spidi ngapi??? Ni bora kusema ukweli kuwa jamaa anaendesha bila kuzingatia taratibu za udereva. Suala la spidi ni ngumu kuthibitisha maana kuna siku nilikuwa nasafiri na dada mmoja akaanza kupiga kelele eti gari inakimbia sana na ilikuwa kwenye spidi 60 hivi! Nilishangaa sana nikaona huu ni upuuzi, kwa spidi ya chini ya 60KPH mwanza ni safari ya wiki nzima hiyo! Kinachoweza kuthibitisha spidi ni speedomiter sio muono, muono mara nyingi ni relative, mwingine ataona inakimbia na mwingine haikimbii. Kuna haja ya watu kutembea na handheld speedometers.
Kuna dereva mmoja hivi wanamuita dereva WA mwendokasi. Ana speed zake ukipanda lazima uone tofauti.Nilipanda basi la Mwendo Kasi kutoka Kariakoo kwenda Ubungo asubuhi hii kwenye saa 2 na robo hivi.
Nimemshangaa Dereva wa basi namba T144DGW anavyoendesha kwa speed kubwa na kutoacha nafasi ya kutosha kati yake na mwenzake aliye mbele yake! Anafanya michezo kama dereva wa daladala, anamfuata mwenzake kwa karibu mno na kusababisha kufunga breki za ghafla pale mwenzake wa mbele anapopunguza mwendo au kusimama.
Kuna wakati nilihisi kwamba atamgonga yule wa mbele! Hata aliposimama kituo changu cha Shekilango, jamaa anaingia kituoni kwa speed na nafasi aliyoicha kati yake na sakafu ya kituo ni sentimita chache tu tofauti na wenzake wanavyosimama.
Naomba Mamlaka ya husika imuonye Dereva huyo ajirekebishe la sivyo ataisababishia hasara Serikali muda si mrefu. Hawa madereva wakumbuke kwamba haya magari pamoja na miundombinu yake vimegharimu fedha zetu nyingi, kwa hiyo wawe waangalifu.
Nashauri pia wapimwe kama wamelewa kabla ya kukabidhiwa magari hayo.
Mungu ibariki Tanzania.
Taqwa ya Congoalikuwa anaendesha kimbinyiko ya Dom huyo,anahisi anachelewa au yuko gairo, wamekusikia
tahadhariAcha unyumbu ww
Mwenzako, kaona tatizo na kalisema hivyo hapo tahazar ichukuliwe ili kuepusha ajali
Ss kada wa ccm sijui unaleta hojagan hapo idiot