Dec 2015 salary out; Asante serikali ya Magufuli.

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
3,833
4,061
Kweli Magufuli hapa kazi tu leo trh 21 wale watumishi ambao hupokea mshaharu kwa kuchelewa hatimae kero hiyo wameanza kuepukana nayo. xmass itakuwa ya furaha na amani. bar,gest zitauza sana. najua huko madukani,sokoni ni kama kawaida. Tuwe waangalifu maana tukijaa mifukoni huwa ni balaa. Shukrani ziwaendee nmb kwa kwenda na kasi ya rais wa awamu tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…