PATIENCE PB Senior Member Apr 3, 2014 163 37 Jan 24, 2017 #1 Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!!
Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!!
Landcruiser JF-Expert Member May 27, 2013 1,803 596 Jan 25, 2017 #2 PATIENCE PB said: Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!! Click to expand... Acha uvivu, ingia google NBAA wana website .. Kusearch ngono tu ndio mnafahamu.
PATIENCE PB said: Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!! Click to expand... Acha uvivu, ingia google NBAA wana website .. Kusearch ngono tu ndio mnafahamu.
PATIENCE PB Senior Member Apr 3, 2014 163 37 Jan 25, 2017 Thread starter #3 NBAA nimeangalia sijaona Mkuu ndo maana nikapost humu Jukwaa la Elimu......sa unapozungumzia mambo ya ngono nashindwa kukuelewa mkuu.
NBAA nimeangalia sijaona Mkuu ndo maana nikapost humu Jukwaa la Elimu......sa unapozungumzia mambo ya ngono nashindwa kukuelewa mkuu.
chavdy Senior Member Feb 29, 2016 181 120 Jan 25, 2017 #4 PATIENCE PB said: Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!! Click to expand... January 28 ndio mwisho
PATIENCE PB said: Wanajamvi wa Elimu forum kwa anayejua mwisho wa kujisajili NBAA kwa ajili ya mitihani ya CPA anifahamishe tafadhali. Asanteni!! Click to expand... January 28 ndio mwisho