SITAACHA KUSEMA UKWELI MPAKA SIKU NIFE..HUYU WA SASA NI MNAFIKI..MPENDA SIFA NA MUIGIZAJI KULIKO WOTE WALIOTANGULIA..USHAURI WANGU AACHE TU KUPENDA MISIFA NA APUNGUZE UNAFIKI KWA WATANZANIA..NA ZILE TRILIONI ANAZODAI KILA SIKU KUWA KAZIKUSANYA MBONA HATUONI AKIZIFANYIA KAZI KAMA HII YA KUNUNUA MADAWATI...View attachment 327307
Katika hali isiyo ya kawaida Wanafunzi 275 wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Itete wilayani Mbozi mkoani Songwe wanalazimika kukaa chini wakati wa masomo kutokana na uhaba wa madawati shuleni hapo.
Kwa mujibu wa Mwalimu mkuu wa shule hiyo Grace Mkoloma, darasa la kwanza lenye wanafunzi 278 lina dawati moja pekee lililopelekwa shuleni hapo na mzazi wa mwanafunzi mmoja ambaye hakutaka mtoto wake akae chini.
Uwepo wa dawati hilo moja unatoa fursa kwa mtoto wa mzazi huyo kuteua rafiki zake wengine wawili kukalia dawati hilo wakati wa masomo hivyo wanafunzi wengine 275 hulazimika kukaa chini.
Mwalimu Mkoloma amebainisha hayo kwenye mkutano wa wazazi na wadau wa elimu shuleni hapo uliofanyika jana ukiwa na lengo la kuelimisha jamii juu ya dhana ya Sera ya Elimu bure pamoja na kujadili changamoto inayoikabili shule hiyo ikiwemo mlundikano wa wanafunzi madarasani pamoja na uhaba wa madawati.
Amesema shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 2000 wa kuanzia darasa la awali hadi la saba na wanafunzi wa darasa la kwanza pekee wapo 278 kati yao ni wanafunzi watatu tu ndio wanaokaa katika dawati moja lililotengenezwa na mmoja wa wazazi wa mtoto ambaye alifika shuleni hapo na kukuta mwanae anakaa chini wakati akisoma.
Mkuu huyo wa shule alisema kwa sasa uhitaji wa madawati shuleni hapo ni madawati 463 kwani kwa sasa shule ina madawati 248 ambayo yamegawanywa katika vyumba vya madarasa 11,hivyo kuiomba serikali na jamii kulitazama suala hilo na kulipatia ufumbuzi haraka iwezekanavyo ili kunusuru watoto hao kutofanya vibaya kitaaluma.
Mmoja wa wajumbe wa kikao hicho Mussa Mlele alisema wao kama wazazi wamesikitishwa na hali hiyo hivyo kuwataka wazazi wenzake kuungana pamoja ili kutafuta ufumbuzi wa tatizo la madawati shuleni hapo badala ya kungoja serikali akisema wanaoumia ni watoto wao wazo lililoungwa mkono na wananchi wenzake.
View attachment 327307

mkuu hatupo tayari kuchangia coz tulishaambiwa bure tena bure kwelikweli...kila mwezi serikali inatangaza kwenye vyombo vya habari imekusanya matrioni ndo wakati wake sasa huu izipeleke huko shuleni kununua madawatiMbeya mjikomboe, serikali ya ccm si ya kutegemewa kabisa! Pitisheni hata mchango kwa wanakiji pamoja na wafadhili mkishirikiana na viongozi wenu kama madiwaani na mbunge
mkuu kwani ni kazi ya mbunge kununua hayo madawati...tunachotaka makufuli apeleke yale matrioni yake anayotangaza kila Siku wameyakusanya ili wakanunue madawatiMbunge wa huko ni nani?
mkuu mbona huyo anayatangaza kila cku kakusanya matrioni hayapeleki huko kununua madawatiHiyo ndiyo lasting impression na legacy ya Mkwere!
Wazo lako ni zuri sana! Hakuna haja ya kuchangia maendeleo ya watoto wenu. Hapo anayeumia ni nani?mkuu hatupo tayari kuchangia coz tulishaambiwa bure tena bure kwelikweli...kila mwezi serikali inatangaza kwenye vyombo vya habari imekusanya matrioni ndo wakati wake sasa huu izipeleke huko shuleni kununua madawati
Kwani mbunge ana kazi gani? Mbona kama una hasira na bwana magu? Na mwisho wa siku wanaoumia ni watoto wetu, so hatumkomoi magufuli.mkuu kwani ni kazi ya mbunge kununua hayo madawati...tunachotaka makufuli apeleke yale matrioni yake anayotangaza kila Siku wameyakusanya ili wakanunue madawati
mkuu kuitegemea serikali hii ni shida na pia itawaathiri watoto na wakazi wa mbeya! Fanyeni mnachoweza kufanya ikibidi tafuteni wafadhili nyie wenyewe watoto wenu wasome kwa kujisikiamkuu hatupo tayari kuchangia coz tulishaambiwa bure tena bure kwelikweli...kila mwezi serikali inatangaza kwenye vyombo vya habari imekusanya matrioni ndo wakati wake sasa huu izipeleke huko shuleni kununua madawati
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi bungeni. Hiyo kazi ya kununua madawati vitabu nk ni ya serekali sio Mbunge. Huyo jamaa huko sahihi kabisa hapo wa kulaumiwa ni magu na serekali yakeKwani mbunge ana kazi gani? Mbona kama una hasira na bwana magu? Na mwisho wa siku wanaoumia ni watoto wetu, so hatumkomoi magufuli.
Anawawakilisha katika nini? Na serikali ni nani?Mbunge ni mwakilishi wa wananchi bungeni. Hiyo kazi ya kununua madawati vitabu nk ni ya serekali sio Mbunge. Huyo jamaa huko sahihi kabisa hapo wa kulaumiwa ni magu na serekali yake