Dar: Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) ya Uvinza mkoani Kigoma, Auawa Kinyerezi

RIP Kamanda.
Jamani IGP Mh Mwigulu ebu tafuta mbadala wa kulinda roho za wanausalama wetu maana wao wakiuwawa ovyo sisi raia tu itakuwaje??????
 
  • Daah! napatwa na hasira :mad: naposikia askari wetu wana uawa huko mashariki mwa nchi yetu hapo hapo kuna mijitu imeanza kujitokeza, kama Sheikh Ponda, kupinga juhudi za jeshi la polisi na kuonesha dalili za kuwatetea wahalifu
Inasikitisha RIP kamanda wa ukweli!
 
Huyu Hamduni hawezi kumsahau Lissu...mahakamani hahahaha

Liberia walianza kama mzaha matokeo yake yakawa mabaya sana.......mlio wa bunduki ukishazoeleka masikioni mwa wananchi unageuka kuwa muziki. Yule askari akivua yunifomu zake anatofauti na hawa watoto?

hqdefault.jpg
 
  • Daah! napatwa na hasira :mad: naposikia askari wetu wana uawa huko mashariki mwa nchi yetu hapo hapo kuna mijitu imeanza kujitokeza, kama Sheikh Ponda, kupinga juhudi za jeshi la polisi na kuonesha dalili za kuwatetea wahalifu
Hivi mzazi,mke na watoto wa Mwangosi watakuwa na hasira kiasi gani kuondokewa na kipenzi chao kwa ukatili wa polisi

Na hata huyo ponda alipigwa risasi manusura kufa na polisi

Haki yake kuweka doubts
 
Back
Top Bottom