bei zenu zikoje au ndo watu wa hotelini tuu,,,,mfano nataka hoho kg moja,,nyanya kg moja,,karoti kg moja,,vitunguu kg moja,,na hohoyes ni organic.
Bei poa unaletewa mlangoni.
Ofisini ni Mwenge ila greenhouses zetu ziko Ruvu na Moro
Bei iko very attractive and affordable.bei zenu zikoje au ndo watu wa hotelini tuu,,,,mfano nataka hoho kg moja,,nyanya kg moja,,karoti kg moja,,vitunguu kg moja,,na hoho
Hoho nyekundu na za njano ni 6000/- per kg, nyanya ni 3000/- per kg, vitunguu ni 2000 per kg, na carrots ni 3000/- kgbei zenu zikoje au ndo watu wa hotelini tuu,,,,mfano nataka hoho kg moja,,nyanya kg moja,,karoti kg moja,,vitunguu kg moja,,na hoho
Mkuu me nahitaji mchicha mwekundu,majani ya maboga na mnafu. Unaweza kuniletea hizo mboga kwa bei gani..!!?? Pls nijibu mkuu,nimezi-miss sana aisee!!Tunazo mboga za kiasili, na zile za nje.
Kwetu utapata hadi figiri nyembamba, mchicha pori, mchicha mwekundu, ngongwe, ming'oko, ndago, numbu za Wasafwa
Mkuu me nahitaji mchicha mwekundu,majani ya maboga na mnafu. Unaweza kuniletea hizo mboga kwa bei gani..!!?? Pls nijibu mkuu,nimezi-miss sana aisee!!
uko Wapi? unachukua kilo ngapi?Mkuu me nahitaji mchicha mwekundu,majani ya maboga na mnafu. Unaweza kuniletea hizo mboga kwa bei gani..!!?? Pls nijibu mkuu,nimezi-miss sana aisee!!