Nadhani ungepeleleza kwanza kujua huyo jamaa kafanya nini mpaka awakimbie polisi!!Polisi wetu ni wabaya kiasi hicho? mtu anaamua kufa kuliko kutumbukia kwenye mikono ya polisi?
....punde saa 24 haijafika tu!Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuingia kwenye maji wakati akifuatwa na Polisi eneo la Posta ya Zamani.
Taarifa zaidi zinakuja punde