Kiasi aridhishwe mwenziwe manji alia anavyofilisiwaNdugu Aliko Dangote ambaye ni mmliki wa kiwanda cha saruji cha Dangote Cement amesema kuwa anaridhishwa na aina ya uongozi wa Mheshimiwa Rais wa JMT ndugu J Pombe Magufuli na ameahidi kuendelea kufanya kazi na serikali yake.
Dangote amesema kuwa kwa anaridhishwa kwa kiwango cha juu na hatua ambazo raisi anazichukua katika kuboresha na kuimarisha mazingira ya uwekezaji.
Source: The Guardian 7 March 2017
Ukurasa wa 5
Unapewa mgodi kirahisi hivy unaanzaj kuponda hata mimi ningebandika picha yake had getinXaaaafiiiii xaaaaaanaaaaa dangotee.
Najua team sembe hawapendi taarifa hizi
Kwa akili yako tu ya kawaida unategemea aseme hajaridhishwa na utendaji wa Magufuli? Chunguza wahindi wakiondoka hapo kwa dangote jua karidhishwa wakibaki hapo jua hajaridhishwa.Mkuu hii habari team wema (ukawa) hawataipenda, hapo walitamani kusikia "dangote asema atasitisha uwekezaji wake hapa tz!"
Team wema ni janga la kitaifa!.
weweni jinsia ipi?Wamepotea mapangoni team vijusoo
Muulize wemaweweni jinsia ipi?
kijuso ndo nini?
nakuuliza jinsia yako wema najua ni mwanamkeMuulize wema
ndio anavuta unga ni teja na nchi hii hatukalibishi mtu wa kuajiri matejamnipe ekari zaidi ya 15,000 kwa ajili yangu kujenga bandari,mnipe gesi kwa upendeleo,mgodi bureeeee na eneo la kiwanda tena huku wizara husika zikiamrishwa ndani ya siku 7 na huku nikipewa unafuu na.msamaha wa kodi,naanzaje kukataa kuwasifia?
Najaribu kuwaza tu Chief Mangungo wa Msovelo yeye alianzaje kuhonga nchi,maana wanasema kwa kupewa shanga,zilizovaliwa na.mabinti ama tunguri za kuwangia?!!
Ila Manji aliyeajiri zaidi ya watanzania 25,000 na hela zake amewekeza hapa hapa na anatumia hapa hapa hafai,ni mwizi na mvuta unga,anafilisiwa!!
Una pointmnipe ekari zaidi ya 15,000 kwa ajili yangu kujenga bandari,mnipe gesi kwa upendeleo,mgodi bureeeee na eneo la kiwanda tena huku wizara husika zikiamrishwa ndani ya siku 7 na huku nikipewa unafuu na.msamaha wa kodi,naanzaje kukataa kuwasifia?
Najaribu kuwaza tu Chief Mangungo wa Msovelo yeye alianzaje kuhonga nchi,maana wanasema kwa kupewa shanga,zilizovaliwa na.mabinti ama tunguri za kuwangia?!!
Ila Manji aliyeajiri zaidi ya watanzania 25,000 na hela zake amewekeza hapa hapa na anatumia hapa hapa hafai,ni mwizi na mvuta unga,anafilisiwa!!
Xaaaafiiiii xaaaaaanaaaaa dangotee.
Najua team sembe hawapendi taarifa hizi