adden JF-Expert Member Dec 27, 2015 7,033 15,616 Mar 12, 2016 #1 Nimefurahi sana kuskia service charge ya luku inaondolewa kuanzua mwezi ujao.daahh hii ilikuwa jipu tambazi.hongera sn JPM
Nimefurahi sana kuskia service charge ya luku inaondolewa kuanzua mwezi ujao.daahh hii ilikuwa jipu tambazi.hongera sn JPM
zabron k JF-Expert Member Nov 11, 2015 923 1,058 Mar 12, 2016 #2 Haraka ya nini? Tulia lete habari kamili ndugu
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Dec 22, 2013 4,137 3,323 Mar 12, 2016 #3 Duuuh! Mwezi ujao mbona mbali sana, unit zangu znakarbia kukata
nusuhela JF-Expert Member Jan 26, 2014 5,818 7,106 Mar 12, 2016 #6 kasigazi kalungi said: Duuuh! Mwezi ujao mbona mbali sana, unit zangu znakarbia kukata Click to expand... Service charge ni mara moja tu kwa mwezi
kasigazi kalungi said: Duuuh! Mwezi ujao mbona mbali sana, unit zangu znakarbia kukata Click to expand... Service charge ni mara moja tu kwa mwezi
adden JF-Expert Member Dec 27, 2015 7,033 15,616 Mar 12, 2016 Thread starter #7 zabron k said: Haraka ya nini? Tulia lete habari kamili ndugu Click to expand... habar ndo hiyo sikulazmish uamin
zabron k said: Haraka ya nini? Tulia lete habari kamili ndugu Click to expand... habar ndo hiyo sikulazmish uamin
adden JF-Expert Member Dec 27, 2015 7,033 15,616 Mar 12, 2016 Thread starter #8 kasigazi kalungi said: Duuuh! Mwezi ujao mbona mbali sana, unit zangu znakarbia kukata Click to expand... Me ndo toka niliweka mwez w 12 mwaka jana leo imebak unit1 daahh roho inauma serv charg y miez 3??
kasigazi kalungi said: Duuuh! Mwezi ujao mbona mbali sana, unit zangu znakarbia kukata Click to expand... Me ndo toka niliweka mwez w 12 mwaka jana leo imebak unit1 daahh roho inauma serv charg y miez 3??
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Dec 22, 2013 4,137 3,323 Mar 12, 2016 #9 adden said: Me ndo toka niliweka mwez w 12 mwaka jana leo imebak unit1 daahh roho inauma serv charg y miez 3?? Click to expand... Aisee pole sana
adden said: Me ndo toka niliweka mwez w 12 mwaka jana leo imebak unit1 daahh roho inauma serv charg y miez 3?? Click to expand... Aisee pole sana
R REAGAN C.MABOGO JF-Expert Member Jan 3, 2014 1,269 1,007 Mar 12, 2016 #11 adden said: Nimefurahi sana kuskia service charge ya luku inaondolewa kuanzua mwezi ujao.daahh hii ilikuwa jipu tambazi.hongera sn JPM Click to expand... adden said: Nimefurahi sana kuskia service charge ya luku inaondolewa kuanzua mwezi ujao.daahh hii ilikuwa jipu tambazi.hongera sn JPM Click to expand... KWA HIYO WANASEMA ELFU 10 ITAKUWA INALETA UNIT NGAPI MWANZONI MWA MWEZI?! MAANA KWA SASA INALETA UNIT NANE! SAWA NA ELFU 1 NA 250 TSHS! KWA UNIT MOJA!
adden said: Nimefurahi sana kuskia service charge ya luku inaondolewa kuanzua mwezi ujao.daahh hii ilikuwa jipu tambazi.hongera sn JPM Click to expand... adden said: Nimefurahi sana kuskia service charge ya luku inaondolewa kuanzua mwezi ujao.daahh hii ilikuwa jipu tambazi.hongera sn JPM Click to expand... KWA HIYO WANASEMA ELFU 10 ITAKUWA INALETA UNIT NGAPI MWANZONI MWA MWEZI?! MAANA KWA SASA INALETA UNIT NANE! SAWA NA ELFU 1 NA 250 TSHS! KWA UNIT MOJA!
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,113 24,642 Mar 12, 2016 #12 Sasa wakiondoa service charge then wakapandsha kodi na bei kwa unit hapo badae bado si jipu tu...
Khantwe JF-Expert Member Dec 20, 2012 59,415 119,418 Mar 12, 2016 #13 Huu uzi upo jukwaa la jokes au macho yangu yanaona vibaya