CUF Lipumba yakiri aliyekatwa kisigino ni mlinzi wa chama

Na hili naamini linatokea DSM tu, hakuna RPC mwingine nchi hii anayeweza kusikia mtu aliyepanga uhalifu akijinadi kwenye media akamwacha atambe. Ni Siro pekee, Only Simon Siro.
True..... May be kuna mtu mzito nyuma yao
Na hili naamini linatokea DSM tu, hakuna RPC mwingine nchi hii anayeweza kusikia mtu aliyepanga uhalifu akijinadi kwenye media akamwacha atambe. Ni Siro pekee, Only Simon Siro.
 
Jambazi la li mpumbavu lakatwa kisigino, lanusurika kuchomolewa ubongo ni baada ya kutandikwa ngumi kali usoni na kudai ni kapigwa nondo...!!
 
Hii ishu nzima ni ya king Kong mwenyewe magu na shite... Mnakumbuka Mr profesa korodani akivyokwenda Rwanda baada ya kuujiuzulu? Haya ndiyo matokeo ya ile ziara yake...
 
Huyu pimbi angekuwa ametaitiwa pande za A town nafikiri polisi wangekuja kuchukua majivu wakapime DNA kumtambua.
 
Mtazamo wangu wote wakose,
Lipumba na maalim seif wote watoke kwenye uongozi na msajili wa vyama vya siasa atangaze chama kurudi chini ya bodi ya wazamini.
Halafu uitishwe uchaguzi wa nafasi zote za juu kwani ni zaidi ya miaka 25 viongozi ni wale wale(hakuna demokrasia).
Lipumba na seif wale pension zao au wafanye biashara nyengine mfano,
Rais wa iran baada ya kustaafu sasa amerudi kuwa mwalimu wa chuo.
Kanali Kikwete aliwahi ahidi kuwa mwalimu wa chuo cha kijeshi pale kunduchi.(wanajitegemea nje ya siasa) .
Wote tunajua Seif kukosa ustahimilivu zaidi ya madaraka na kupiga debe tukose misaada watawala hawawezi muafiki yeye hali kadhalika Lipumba na prof wake usio kua na kazi naye anatumiwa kama STD VII na viongozi wa juu kumuharibia Seif asiyekuwa mzalendo sababu ya ubinafsi.
Tutamshangaa kamanda siro -yeye anayajua haya.
Tutshangaa waziri Mwigulu -kujua kuna vikundi vya kiulinzi ndani ya vyama na wanavaa mask na wanakambi zao za kujifua.
Wizara ya sheria na katiba iweke sheria mama kwa vyama vyote nafasi ya uenyekiti na ukatibu visiwe zaidi ya miaka 10 ili kusiwe na hii mambo miaka 25 wewe ni mwenyekiti na katibu mkuu.
 
Kama walimkata kisigino basi atajiona mjinga maisha yake yote kukubali kutumiwa kwenye mambo yasiyo na maslahi kwake wala kwa taifa pia mungiki wenzake wamejifunza hapo hivyo hawatorudia tena.
 
Kwa namna mambo yanavyoendeshwa na kutokea Tanzania kwa sasa...yananipa sababu zaidi ya kuikubali ile ripoti isemayo Watanzania hatuna raha.
 
ila Kambaya tangu CUF wavamiwe ka vile anatapatapa na habari zake! Anatakiwa atulie kwanza amtibie mlinzi(gadi) wake kisigino.
Huyo mlinzi(gaidi) kwakweli anatakiwa amshukuru Mungu sana kwa uvamizi alioufanya na wenzake amekakutana na watu wenye huruma sana! Yani wamemkata kisigino tu!
 
Back
Top Bottom