Corolla Runx inauzwa

kilundilo

Member
Aug 14, 2014
54
6
Gari aina ya Corolla Runx inauzwa,, imesajiliwa kwa namba DLD,,, bei ni 11M

Specificationa zake ni kama ifuatavyo,;

Version / Class ---Z AERO TOURER

Engine Code-----2ZZ

Engine Size----------1,790cc

Manufacture Year ------2002 / 5

Color---------Silver

Transmission----------Automatic

Ipo katika hali nzuri kabisa haijawai pata ajali. Karibu sana kwa ununuzi
 
Hiyo ni bei ya used kutoka Japan sio bongo kwa hizo gari, halafu cc1.8 yote hiyo ya nini au ndio maana imekushinda?
 
Vyumaaaaa havina Oil kabisa.
Hapo kwenye cc za engine wengine matumbo yanavuruga
 
Back
Top Bottom