CONFUSION: Yesu alikufa mwezi December akafufuka April ya Pasaka

Differential Equations

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
204
200
Wale wenye imani ya dini ya wakristo naomba mnisaidie vitabu vya dini vinatuambia yesu alikufa December ndo maana wakapanga maadhimisho ya kufa kwake.

Baada ya siku tatu alifufuka na kurejea mbinguni maana yake siku tatu baada ya Christmas ni December 28th.

Sasa iweje pasaka iwe maadhimisho ya kufufuka kwa yesu??

Je ilikuwaje mtu afe December afufuke baada ya siku 3 aibukie April???

Welcome for your contributions so that my mind can be conscioutized.

HAPPY TUESDAY, 16th.
 
Wewe unaamini katika Yesu Kristo? Declare interest kwanza halafu tuendelee
 
Hizo sherehe mbili zote hazina uhusiano na yesu mkuu. Na zilikuwepo hata kabla yesu hajazaliwa.
Usisubiri kufundishwa na waislam kuhusu Tamuz mme wake nimrod na mtoto wao.
Fuata vilivyoandikwa kweny bibilia kama hakimo kuwa muangalifu sana kabla hujakishabikia.
 
Hujaweka reference ya biblia (vitabu na sura zake) inayoonesha kwamba Yesu alikufa Desemba!
 
unaongelea juu ya nini ndugu yesu alizaliwa 25dec
 
Kitabu gani hicho kinakwambia Yesu alikufa desemba... Hicho Kitabu chako embu tusaidie tujue pakuanzia....
 
Yesu alizaliwa decemba baada ya miaka 30 akafa april ndo ipo yesu hakufa dec kama unavyosema ww
 
Hukawii kuuliza kua kama alizaliww december akafukua april basi alkufa akiwa na miezi kadhaa ata mwaka hakua nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…