Complete Engine ya Land cruiser 1DTH Turbo inauzwa

HD-T Turbo ya 6 cylinder kuna jamangu alikuwa anaitaka cjui kama ashaipata, subiri nimlete kwenye huu uzi. Jf bana
 
1HD-TThe1HD-Tis a 4.2 L (4164 cc)straight-6SOHCturbochargeddiesel engineof direct injection design.[1]Bore is 94 mm and stroke is 100 mm, with acompression ratioof 18.6:1. Output is 164hp(121kW) at 3600 rpmwith 267lb·ft(361N·m) oftorqueat 1400 rpm.1HD-FTThe1HD-FTis a 4.2 L (4164 cc)straight-624valveSOHCturbochargeddiesel engineof direct injection design. Bore is 94 mm and stroke is 100 mm, with acompression ratioof 18.6:1. Known asthe "multivalve" it has 4 valves per cylinder (2 inlet,2 exhaust), central vertically mounted injector, andno glow plugs but rather an intake glow screen heater (like the later electronic 1HD-FTE below). The 4 valves per cylinder are actuated by the SOHC, by using bridges so each rocker actuates a pair of valves. Output is 168hp(125kW) ECE at 3600 rpmwith 380N·moftorqueECE at 2500 rpm.*.1995Toyota Land CruiserHDJ801HD-FTEThe1HD-FTEis a 4.2 L (4164 cc)straight-624valveturbocharged diesel engine. Bore is 94 mm and stroke is 100 mm, with a compression ratio of18.8:1. Output is 164 hp (122 kW) at 3400 rpm with 280 lb·ft (380 N·m) of torque at 1400 rpm. The fuel system is direct injection, and adopts theelectronic fuel injection(EFI) system.Redlineof this engine is at 4200 rpm.The 4 valves per cylinder are actuated by the SOHC, by using bridges so each rocker actuates a pair of valves.The version withintercooleras fitted to HDJ100 station wagons has 202 hp (151 kW) at 3400 rpm with 317.1 lb·ft (430 N·m) of torque at 1200-3200 rpm with a redline reaching 4000 rpm. A lower output 122 kW non-intercooled version powers HDJ78 Troop Carrier and HDJ79 Utility versions.Also some of the HDB50 and HDB51 Toyota Coaster are fitted with this 1HD-FTE engine.Applications*.Toyota Land Cruiser*.Toyota Coaster
 
Ebhana Hiyo Engine Achana nayo...
Ukiikuta hiyo Mashine iko kwenye ubora wake utaipenda...
watu wa mikoani wanazipenda sana kwasababu zinakata Milima hatari...
ukiikuta Toyota Coaster imefungwa hiyo Mashine utaisoma namba mwanzo mwisho..
Coaster za
Mbeya-Tukuyu- Kyela
Mbeya-Makambako- Njombe
Mbeya- Tunduma

zipo Kibao...
ukikutana na za Mbeya -Tukuyu- Kyela zinavyokata Milima ya Uporoto utaomba kushuka....

Among Toyota's Best Engines...

1HZ ni very powerful lakini Lakini kwa 1HD-T anakaa kando...
 
Ni kwel ila 1HDT inahitaji umakini zaidi maana sheria ya Turbo gari ikitembea sana uki paki gari hutakiwi kuizima hapohapo, inabidi unasubiri ata 10 minutes to 15 minutes kutokana na umbali uliotembea ili Turbo ipoe kdg maana ukisema uizime gari papo kwa papo unaua Turbo. Na Turbo ikifa utaichukia gari yako maana ata Vitz itakua inapandisha mlima wewe na Coaster au Cruiser yako hupandi same mlima.
 
Mimi binafsi naipenda sana 1HZ huwa hazina complications. Ni imara sana. Ata 1HDT ni 1HZ vilevile utofauti ni Turbo tuu, zote zina 4164cc 4.2ltr 6cyl straight line au I6 yaan 6cyl in line. 1HDT mbna inasubiri kwa 1HZ ukiamua. Mimi na Landcruiser mkonge ilikuwa na 1PZ engine nikaweka 1HZ EGR version. Iyo engine ni Diesel ila inavyoamsha utadhan ni ya Petrol.
 
Back
Top Bottom