Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 16,457
- 31,393
Boss geografia ulisoma????
Aisee kumbe hauna unachokijua kwenda Congo DRC lazima upite Rwanda au Burundi? unapita Zambia kwa bara bara ya Ndola Kitwe unaingia border unautafuta mji wao Kinshasa sema maeneo ya juu ni rahisi kupitia Rwanda na Burundi maana DRC ni kubwa imepakana na Nchi nyingi...Boss unaendaje huko drc bila kupita rwanda au burundi??????