Clouds Ni Mahala Huru Tu, Huwa Wanaenda Kupiga Soga Kiasi Kwamba Ni Ngumu Mambo Yako Kukwama Kama Unafanya Kazi Hapo, Kwanza Wana Uhuru Mkubwa Kiasi Kwamba Unaweza Kuitumia Clouds Kutangaza Na Kuiboost Biashara Yako Bure.Nakupa Mifano Michache:Siamini sana, mradi ukifanikiwa unahitaji kufanywa na watu wengi (zaidi ya mmoja), je hawa miradi yao inasimamiwa na nani?
Hivi unajua maana ya zero budget?kama hujui Google kwanzaHassan Ngoma nilimuona mjinga toka siku ya kwanza nilipomuona kwenye semina ya fursa shinyanga, wakati anajitambulisha alisema akija kuongea atatuelezea namna ya kuanzisha biashara with zero budget
Alichokuja kukiongea sitakaa nisahau ule muda nilioupoteza kwenye ule ukumbi
Hili na lenyewe ni la Ku Google?Hivi unajua maana ya zero budget?kama hujui Google kwanza
Zero budget sio zero cashHili na lenyewe ni la Ku Google?
Ndio maana yule ajuza anaulizaga huko shule mliendaga kusomea ujinga?
Ebu nipe tofauti ya zero budget na zero cashZero budget sio zero cash
Mfano watu waliofanikiwa kama David Mosha ataacha biashara zake akapinge soga clouds kisa kuna uhuru?Clouds Ni Mahala Huru Tu, Huwa Wanaenda Kupiga Soga Kiasi Kwamba Ni Ngumu Mambo Yako Kukwama Kama Unafanya Kazi Hapo, Kwanza Wana Uhuru Mkubwa Kiasi Kwamba Unaweza Kuitumia Clouds Kutangaza Na Kuiboost Biashara Yako Bure.Nakupa Mifano Michache:
1.B Dozen | Born To Shine + Afrikasongs
2.Millardayo | Millardayo
3.Soudy+ Qwhissah | Shilawadu Ubuyu
Na Watangazaji Karibu Wote Wa Clouds Huwa Wanalipwa Kutengeneza Matangazo Hapo Clouds.
Umemsahau Kibonde ana mradi wa u MCClouds Ni Mahala Huru Tu, Huwa Wanaenda Kupiga Soga Kiasi Kwamba Ni Ngumu Mambo Yako Kukwama Kama Unafanya Kazi Hapo, Kwanza Wana Uhuru Mkubwa Kiasi Kwamba Unaweza Kuitumia Clouds Kutangaza Na Kuiboost Biashara Yako Bure.Nakupa Mifano Michache:
1.B Dozen | Born To Shine + Afrikasongs
2.Millardayo | Millardayo
3.Soudy+ Qwhissah | Shilawadu Ubuyu
Na Watangazaji Karibu Wote Wa Clouds Huwa Wanalipwa Kutengeneza Matangazo Hapo Clouds.
Huyo David Mosha Ni Nani, Muelezee Kidogo Kafanikiwaje, Anajishughulisha Na Nini ?Mfano watu waliofanikiwa kama David Mosha ataacha biashara zake akapinge soga clouds kisa kuna uhuru?
Nimekupa mfano ni mfanyabiashara aliyefanikiwa, google utakutana na habari zake.Huyo David Mosha Ni Nani, Muelezee Kidogo Kafanikiwaje, Anajishughulisha Na Nini ?
Kwani hawajafanikiwa?Hizo fursa wanazowaonyesha watu, kwa nini wasianze wao kwanza wafanikiwe na sisi tuige?
Fanya uchunguziKwani hawajafanikiwa?
Mkuu bila shaka wewe kabla ya kupost umefanya utafiti kidogo. Hebu tupe kidogo kuhusu mafanikio ya Hassan Ngoma.Fanya uchunguzi
Na wewe utakuwa kilaza kuhudhuria semina ya namna hiyo, with zero budget? May be udalali/upiga debe/utapeli